Hivi kuna mkoa unakosa maadili kama Dar?

Hujafika huku kwetu Umasaini ndani-ndani au tuseme vijijini. Hiyo ni kawaida sana. Kama hutaki kupanda mshikaki wa ivo kanunue pikipiki yako upande mwenyewe. Boxer 150 inabeba abiria 4 - 5.
 
Kuna siku nime msinidkia mtu naheshimiana nae sana kitu cha bajaji, ghafla ikatokea boda imepaki mdada akaanza niaga akae nyuma ya yule dada, nika mkata jicho hadi akajishitukia akaanza kujiongelesha mala alafu kweli huyo ni mwanamke haifai nikala bati .. Watu watakuja ingia kwenye changamoto za kuhusi wanachepuka na wake za watu na hizo mambo za mishikaki ua jinsia tofauti
 
Wewe naye unashangaa vitu vya hovyo.
Siku moja natoka Mbezi kwenda Gomz
Nikapata usafiri wa Bajaji, jamaa nyuma alipakia watu wanne halafu pale mbele walikaa watu wanne pamoja dereva. Nakaamini kweli ikstaajabu ya Moses utayaona ya firauni.
 
Dah! Inashangaza kwel-kweli. Hivi haiwezekani kumwona Ke kama mtu/Binadamu wa kawaida na kumheshimu bali kila unapomwona Ke unafikiria habari ya Ngono tuu? Hivi shuleni, Kanisani, kwenye Vikao au Mikutano ya hadhara, wakihudhuria Ke na ww ukabahatika ukawepo, itakuwa husikilizi kinachoendele bali unajikita kwenye kukagua sketi tu???!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…