jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Mkuu hii igomelo scheme nayo ni kwa ajili ya mpunga peke yake au?Wilaya ya mbarali,
kata ya igawa,kwa kilimo cha vitunguu,nyanya,na mbogamboga nyinginezo kuna heka 2000 (igomelo scheme)
Kata ya Chimala,kuna heka 30,000 za kumwagilia ila mpunga (kapunga estates).
Mbarali estates kuna heka 15,000
Za kumwagilia
Madibira estates kuna heka 10,000 za kumwagilia mpunga
Miundombinu iko imara sana
Naunga mkono hoja. ..awake FACTS ZA HOMBOLO NA HASA UKUBWA WA SCHEME YAKE ....Kuna story moja inadai kuwa watu wenye ulemavu wa macho siku moa walienda kutalii wakiwa na shauku ya kumjua tembo. Mmoja akapata bahati ya kumshika tumboni, katika kupapasa akawa hafiki mwisho, akaondoka akijua tembo ni kama ukuta, mwingine akapata bahati ya kupapasa sikio, akaondoka akijua tembo ni kama ungo.
Naifananisha story hii na baadhi ya wachangiaji wa mada hii akiwemo mleta mada.
Nadhani ingependeza mleta mada kueleza kwanza hilo eneo la hombolo hiyo skimu ina ukubwa gani, inahudumia wakulima wangapi? Chanzo chache cha maji na sustainability yake kwa mwaka mzima,
Wachangiaji wengine nao waje kwa fact za skimu wanazojua, MTU mwenyewe tu bila ushawishi atajua skimu IPI bora. Unless otherwise mleta mada anatafuta Wateja kwa aidha udalali au eneo lake, maana nilidhani anatafuta kujua ili kuongeza uelewa wa mambo. Maana huwezi sifia ubora wa kitu ukiwa huna fact za kukilinganisha na kingine!
Mboga mboga tu na mpunga kidogo sanaMkuu hii igomelo scheme nayo ni kwa ajili ya mpunga peke yake au?
Kuna story moja inadai kuwa watu wenye ulemavu wa macho siku moa walienda kutalii wakiwa na shauku ya kumjua tembo. Mmoja akapata bahati ya kumshika tumboni, katika kupapasa akawa hafiki mwisho, akaondoka akijua tembo ni kama ukuta, mwingine akapata bahati ya kupapasa sikio, akaondoka akijua tembo ni kama ungo.
Naifananisha story hii na baadhi ya wachangiaji wa mada hii akiwemo mleta mada.
Nadhani ingependeza mleta mada kueleza kwanza hilo eneo la hombolo hiyo skimu ina ukubwa gani, inahudumia wakulima wangapi? Chanzo chache cha maji na sustainability yake kwa mwaka mzima,
Wachangiaji wengine nao waje kwa fact za skimu wanazojua, MTU mwenyewe tu bila ushawishi atajua skimu IPI bora. Unless otherwise mleta mada anatafuta Wateja kwa aidha udalali au eneo lake, maana nilidhani anatafuta kujua ili kuongeza uelewa wa mambo. Maana huwezi sifia ubora wa kitu ukiwa huna fact za kukilinganisha na kingine!
Kwa Wabongo huo ni mradi wa kupigia dili.Habari wanajamvi,kama kichwa kinavyojieleza,ukitoa ule mradi wa mto Nile,
kwa hapa Africa kuna mradi mkubwa na ulio bora kuliko uliopo Hombolo bwawani Dodoma?
karibuni hombolo kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji (Irrigation)
siyo zabibu tu,hata nyanya,bamia,mihogo,mbogamboga nk.
Habari.. ndugu bado upo Hombolo?Habari wanajamvi,kama kichwa kinavyojieleza,ukitoa ule mradi wa mto Nile,
kwa hapa Africa kuna mradi mkubwa na ulio bora kuliko uliopo Hombolo bwawani Dodoma?
karibuni hombolo kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji (Irrigation)
siyo zabibu tu,hata nyanya,bamia,mihogo,mbogamboga nk.
Nitahitaji kuja kutembelea huko kujifunza na kuangalia fursa..yap bado nipo Hombolo mkuu
Poaok haina shida,ukiwa tayar ni pm