Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Wakuu hivi ni maeneo gani ndani ya mkoa wa Mbeya wanafanya kilimo cha umwagiliaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UbarukuWakuu hivi ni maeneo gani ndani ya mkoa wa Mbeya wanafanya kilimo cha umwagiliaji
Ahsante ndugu...vp unaishi Mbeya piaUbaruku
Mleta mada mi naona ungeweka, vitu muhimu zaidi ya kutaka kujua tu kama kuna mradi mkubwa zaidi ya huu ulioueleza, tuwekee bei ya kukodi shamba na gharama nyingine pamoja na mategemeo baada ya mavuno, itasaidia kwa ataependa kuwekeza huko"
Wakuu kama kuna yeyote humu anaepafahamu vizuri tafadhali atupe maelezo kwa kina ama kama kuna yeyote anaeweza kuwa mwenyeji wangu aje PM tuyajenge aliyeleta mada inaonesha kuna kitu hataki tukipate
Kilimo cha umwagiliaji Ubaruku, Madibira na Kapunga zote ni za mpunga tu. Kilimo cha umwagiliaji ambacho si cha mpunga kinachofanyika Mbarali Mbeya unapoulizia ni cha bustani za mbogamboga ambacho kipo Igawa.Ahsante ndugu...vp unaishi Mbeya pia
au unaweza niunganisha na mtu yyte anaetokea Ubaruku?
Bado kuna nafasi ya kukodi au kumesha jaaa?ukianza kuja ni pm mkuu kama utajali niwe mwenyeji wako
Wilaya ya mbarali,Wakuu hivi ni maeneo gani ndani ya mkoa wa Mbeya wanafanya kilimo cha umwagiliaji
Asante kwa majibu, kuna umbali gani kutoka Dodoma mjini.ipo ya kutosha mkuu