Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
KabisaHakuna 🙌🏾
Acha izo ofsa unachamba umbea sioDaaah mpaka Jf kuna waskiliza Singeli kweli huu mtandao umeshuka viwango ssa
45 utaacha ndala.Ngoma zake hazijapoa huyu jamaa ndio msanii wangu Bora wa singeli mda wote sababu ngoma zake Zina ujumbe sana na ni Kali jamaa kabalikiwa kipaji kikubwa sana na ametokea kukubalika sana na raia ukisikiloza ngoma zake maisha unayaona simple sana 45 namba chafu
Father na wewe unamkubali double killer45 utaacha ndala.
Father na wewe unamkubali double killer
Huku ni kuishushia heshima JFDaaah mpaka Jf kuna waskiliza Singeli kweli huu mtandao umeshuka viwango ssa
Sahv hata wazungu wanasikiliza singeli na wanarukaruka tu hawajui wanasema nini!Daaah mpaka Jf kuna waskiliza Singeli kweli huu mtandao umeshuka viwango ssa