Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
SUMADO, MCZO na Msomali wameshafariki?
Nyimbo za hovyo hovyo, wanasikiliza watu wa hovyo hovyo.Ngoma zake hazijapoa huyu jamaa ndio msanii wangu Bora wa singeli mda wote sababu ngoma zake Zina ujumbe sana na ni Kali jamaa kabalikiwa kipaji kikubwa sana na ametokea kukubalika sana na raia ukisikiloza ngoma zake maisha unayaona simple sana 45 namba chafu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daaah mpaka Jf kuna waskiliza Singeli kweli huu mtandao umeshuka viwango ssa
Hit songs zake zinahesabika."Kifo cha mende bingili chali, Utamu wa asali,
Siku hizi haniiti sadali, Ananiita mkali,
Kapagawa na misondo mikanyago"
Mo ndo nilomfundisha kutoa kitu avute"
NB: Hakuna kama msomali