Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #21
Jamaa anatisha Kila ngoma yake ni KaliKonde boy ni zaidi ya wcb yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anatisha Kila ngoma yake ni KaliKonde boy ni zaidi ya wcb yote
Jamaa anatisha sijawahi ona msanii kama huyu Tanzania Kila ngoma ni kaliKonde ni hatari mazee!!
Jaribu kusikilza singeliI go die ...for u .....konde mziki bado sana
Taja nani anaemzidi Ili nimtambueVigezo gani ulivyotumia na vikakuridhisha kuwa hamna anayemzidi huyo coughing machine🤷🏿♂️
Bombo clatKonde boi kolu mi namba wanii
Komi namba waniBoombocraa
BalesaaaBombo clat
Yao yaoBalesaaa
Anaemzidi kitu gani?, nyie wamakonde mkiuza korosho mnakuaga wehu.Hivi wakuu kunamsanii anaemzidi harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wazamani naona hamna kitu sizani hata kutakuja kutokea kama huyu mwamba konde boy bongofleva haimdai hata akifa leo yaani jamaa anajua mziki
We jamaa kwel Poor Brain 😁😁😁Oaa harmonized popote ulipo we jamaa hatar
Jibu swali nani anaemzidi mziki huyo jamaa unaanza kashfa unauhakika Mimi ni mmakonde kwahiyo jeshi mashabiki wake ni wamakonde au ndio tatizo la afya ya akili limeshatua kwakoAnaemzidi kitu gani?, nyie wamakonde mkiuza korosho mnakuaga wehu.
Sasa taja anaemzidi tatizo atajwi anaemzidi kwenye career ya mziki wa bongoIla Tanzania unafiki ni Asili yetu 😁😁😁, hamonaizi ???
Yule jamaa mwenye wimbo wa Sandakalawe 😁