Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Ohhh kumbe ndio facts hizi. HongeraHivi unaakili timamu yaani diamond muimbaji amapiano hapa tunaongelea mziki mzuri sio mtu anaimba kiruuu kiruu we itakua hujui mziki yaani mpaka umemuweka huyo bibi jay dee haupo serious hapa ndio nimegundua harmonize Hana mpinzani kwenye mziki mzuri kama watu wenyewe ndio hao uliowataja