Hivi Kuna msanii Tanzania anaemzidi harmonize yaani Hadi wale wa zamani

Hivi Kuna msanii Tanzania anaemzidi harmonize yaani Hadi wale wa zamani

Kama ulivyo wewe kwenye nyuzi za Kipimbi na Kidwanzi hauna mpinzani Wala anayekuzidi , wewe jamaa ni hatari unajua sana.
 
Konde boi ko mi namba waani baaakhresaaa
 
ana kipaji ila sio kuliko wote,kuna rayvanny,kuna diamond,grace matata,enika(dadake marehem roy),kuna JINI marioo,platform ,dullayo,dully sykes,ali kiba
 
Hivi wakuu kunamsanii anaemzidi harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wazamani naona hamna kitu sizani hata kutakuja kutokea kama huyu mwamba konde boy bongofleva haimdai hata akifa leo yaani jamaa anajua mziki
Mbona hueleweki msanii anayemzidi hamonize kwa kipi kuchukua matenki au ngongingo. ngongingo?
 
Taja Sasa goat wa tanzania nani mbona hamtaji
Kwa hiyo bro. Hata ukipima kati ya Diamond na Konde, yupi utamchagua kwa vigezo hivi

1. Hits
2. Longevity
3. Digital & Commercial success
4. Ushawishi kwenye industry na nchi
5. Vipaji alivyovitoa
6. International recognition

Konde yupo vizuri kwenye kutengeneza melodies na siku hizi mashairi kaimprove Ila sidhani kama yupo kwenye list of GOATS, mpeni muda maana hajafikia musical impact hata ya Lady jay dee.
 
Hivi wakuu kunamsanii anaemzidi harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wazamani naona hamna kitu sizani hata kutakuja kutokea kama huyu mwamba konde boy bongofleva haimdai hata akifa leo yaani jamaa anajua mziki
Huko Chitohori mnatunyima nini.
 
Kwa hiyo bro. Hata ukipima kati ya Diamond na Konde, yupi utamchagua kwa video hivi

1. Hits
2. Longevity
3. Digital & Commercial success
4. Ushawishi kwenye industry na nchi
5. Vipaji alivyovitoa
6. International recognition

Konde yupo vizuri kwenye kutengeneza melodies na siku hizi mashairi kaimprove Ila sidhani kama yupo kwenye list of GOATS, mpeni muda maana hajafikia musical impact hata ya Lady jay dee.
Hivi unaakili timamu yaani diamond muimbaji amapiano hapa tunaongelea mziki mzuri sio mtu anaimba kiruuu kiruu we itakua hujui mziki yaani mpaka umemuweka huyo bibi jay dee haupo serious hapa ndio nimegundua harmonize Hana mpinzani kwenye mziki mzuri kama watu wenyewe ndio hao uliowataja
 
Akikaza hii 2025 Harmo anachukua Balon D'or.
Anajua hadi anajua tena.
 
Wapo kwa game ya Sasa au zamani?kama game ya Sasa Kuna huyu msanii anaitwa nani let me listen sound mariooo
 
Back
Top Bottom