Ghayo TheMongo Barbarian
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 248
- 501
Bomboclat ndio nini mkuu ?Labda kwenye kupenda bomboclat na kukohoa 😁😁
Ni good artist Ila kuitwa G.O.A.T bado sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bomboclat ndio nini mkuu ?Labda kwenye kupenda bomboclat na kukohoa 😁😁
Ni good artist Ila kuitwa G.O.A.T bado sana
Hujui mzikiWew Ndio haujui mziki huwezi kufananisha king na korosho..
Kwanza mziki umeanza kuufatilia lini
Yao yaoKonde boi ko mi namba waani baaakhresaaa
Unamatatizo ya afya ya akiliKama ulivyo wewe kwenye nyuzi za Kipimbi na Kidwanzi hauna mpinzani Wala anayekuzidi , wewe jamaa ni hatari unajua sana.
SawaUnamatatizo ya afya ya akili
Mbona hueleweki msanii anayemzidi hamonize kwa kipi kuchukua matenki au ngongingo. ngongingo?Hivi wakuu kunamsanii anaemzidi harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wazamani naona hamna kitu sizani hata kutakuja kutokea kama huyu mwamba konde boy bongofleva haimdai hata akifa leo yaani jamaa anajua mziki
Watoto wa mitaani ni taabu sana siku hizi.Unaweza kuwa mzee ila kubwa jinga
Kwa hiyo bro. Hata ukipima kati ya Diamond na Konde, yupi utamchagua kwa vigezo hiviTaja Sasa goat wa tanzania nani mbona hamtaji
Ni maumbile makubwa maana harmo amejitanabaisha kama anayapenda sanaBomboclat ndio nini mkuu ?
We umekulia chooni ?Watoto wa mitaani ni taabu sana siku hizi.
Huko Chitohori mnatunyima nini.Hivi wakuu kunamsanii anaemzidi harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wazamani naona hamna kitu sizani hata kutakuja kutokea kama huyu mwamba konde boy bongofleva haimdai hata akifa leo yaani jamaa anajua mziki
Hivi unaakili timamu yaani diamond muimbaji amapiano hapa tunaongelea mziki mzuri sio mtu anaimba kiruuu kiruu we itakua hujui mziki yaani mpaka umemuweka huyo bibi jay dee haupo serious hapa ndio nimegundua harmonize Hana mpinzani kwenye mziki mzuri kama watu wenyewe ndio hao uliowatajaKwa hiyo bro. Hata ukipima kati ya Diamond na Konde, yupi utamchagua kwa video hivi
1. Hits
2. Longevity
3. Digital & Commercial success
4. Ushawishi kwenye industry na nchi
5. Vipaji alivyovitoa
6. International recognition
Konde yupo vizuri kwenye kutengeneza melodies na siku hizi mashairi kaimprove Ila sidhani kama yupo kwenye list of GOATS, mpeni muda maana hajafikia musical impact hata ya Lady jay dee.