Hivi Kuna msanii Tanzania anaemzidi harmonize yaani Hadi wale wa zamani

Hivi kwani msanii anapimwa kwa kitu gani?
Subscribers, Umaarufu, au Idadi ya nyimbo?
 
Yaani mm najua Huyu jamaa alieanzisha uzi kuna namna anamzungumzia Tembo 😁😁 bongo wanafki sana
 
Labda kwenye kupenda bomboclat na kukohoa 😁😁

Ni good artist Ila kuitwa G.O.A.T bado sana
 
Konde boy ni noma Ila Alikiba ni kiboko ya Africa mashariki na dunia nzima kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…