Hivi kuna msanii wa kike Afrika anayemzidi Tems?

Wow that's great story, kwenye hiphpo pia ipo hivyo wa kina Tupac Shakur walikuwa wanaandika uhalisia kwa mfano ngoma ya dear mama, Tupac akoelezea how his family was engulfed by poverty, na how his mama was a crack addict, na jinsi alivyo pamban mpk kufikia spotlight.. . Ngoma inatoka I napata connection na wasikilizaji...

Na imagine huyo jamaa, alivyo na kipaji na how he left a legacy behind..

Thanks kwa hiyo information nitamsikiliza sijui zaina subtitles?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…