Honestly vile vi nyimbo vyake vya awali navikumbuka.Una kumbuka kipindi anaingia na sauti yake ya kizanzibari? Angebaki ku embrace ile style angefika mbali..
Alitakiwa afanye justification ili kuleta a taste of reality.I don't embrace hizo mambo huwa zinatoka kwenye uhalisia
😀😀 labda alishauriwa aimbe chochote cha ku trend hata kama kitakuwa short lived.Sugar sukari😅
Ilionesha dalili mapema kuwa her mental health won't get her further
I agree kabisa japo kuwa Tiwa anasauti kubwa kama usemavyo... Ila amekosa recognition because she can artistically create.. Hana creativity...Tems ni mkali..
Lakini kwenye sauti Tiwa Savage anaimba..
Tiwa ameshakuwa background vocalist wa Beyonce , Whitney Houston, George Michael , Mary J Blidge ..n.k
Tiwa Savage ana uwezo mkubwa wa kupanda na kushuka kwenye vocal range..
Kiasili Tiwa sauti yake ni Mezzo Soprano, hii iko chini ya Soprano na juu ya contralto... soprano ndio sauti ya juu kabisa ya kike, Tiwa anaweza kupandisha sauti yake juu zaidi kufikia noti za soprano kwa urahisi, kumbuka amesoma shule ya muziki Berklee, alisomea muziki wa classical na jazz..
Tiwa ana uwezo mkubwa sana wa kucheza na saui yake, vocal texture, anaweza kuanza kwa sauti ya kubana ya puani hadi sauti nene ya kifuani..chest voice.
Tems sauti yake ni contralto.. hii ni sauti ya chini kwa sauti za kike, ikizidiwa na mezzo soprano na soprano.
Tems ana sauti ya kifuani, ana sauti nene, ana sauti ya kipekee...
Ukisema soprano huko utawakuta akina Mariah Carey, Celine Dion, Whitney Houston.. ni sauti ya juu kabisa kwa sauti za kike...
Sauti yangu ni nzito sana, haifai kuimbaUmejaribu?
Tukizungumzia wanaopaswa kuwa GOATed kwa Africa, zungumzia mtu kama Angelique Kidjo kutokea Benin, ana tuzo 5 za grammy, Alizaliwa 1960 14 Julai.I agree kabisa japo kuwa Tiwa anasauti kubwa kama usemavyo... Ila amekosa recognition because she can artistically create.. Hana creativity...
You don't need a big voice na Tems kaonesha hilo, huyo Tiwa si anarukaruka tu na sauti yake? 😂 Mm sikujua kama alishawahi kufanya kazi na Celine dion
My favorite ni Mariah Carey then Whitney Celine kwa mbali sana
We belong together ya Mariah Carey ni hatari sana🔥
Tems kwa Africa she's to be goated
Tukizungumzia wanaopaswa kuwa GOATed kwa Africa, zungumzia mtu kama Angelique Kidjo kutokea Benin, ana tuzo 5 za grammy, Alizaliwa 1960 14 Julai.
Anashikilia Rekodi ya Dunia ya guinness kwa kuwa msanii mwenye ushindi mwingi zaidi wa tuzo ya Grammy katika kipengele cha Best Global Music Album.
Mwaka 2023, alitunikiwa tuzo ya Polar Music Prize, ambayo mara nyingi hutajwa kama tuzo ya Nobel ya muziki. Ni tuzo kubwa sana hio..
View: https://www.youtube.com/watch?v=dlgESq5FAx4
View: https://www.youtube.com/watch?v=MyMDHccQhzo&list=RDdlgESq5FAx4&index=2
Kuna nyimbo yake moja Burna Boy aliiga, Ile nyimbo ya Burna Boy inaitwa anybody, ali sample lutoka kwenye wimbo wa huyu Angelique Kidjo wa mwaka 1992 uliitwa 'We We'.
View: https://www.youtube.com/watch?v=x4NsRS3S1UY&list=RDdlgESq5FAx4&index=3
Kwanini nimchukie, azidi kukaza, mzee Africa ina vipaji, unaposema awe GOATed lazima nitakuuliza kwakipi?Do you hate her? 😂
Hao walishapita na mziki walokuwa wanaimba is irrelevant kwa muziki wa sasa
I get your point and you're into music,
But you can't escape the fact that Tems is kicking it right now.
Ngoja nikuambie kitu kimoja...Do you hate her? 😂
Hao walishapita na mziki walokuwa wanaimba is irrelevant kwa muziki wa sasa
I get your point and you're into music,
But you can't escape the fact that Tems is kicking it right now.
Mkuu kazia hapo hapo🎯by the way ni pisi kali, ana sauti nzuri, napenda pia anavyojiheshimu na huwa hajiachi uchi uchi.. napenda ia lifestyle yake anavyoiweka private... aendelee kukaza...
Ngoja nikuambie kitu kimoja...
Unafahamu neno 'Marioo' ambalo leo hutumika kama kuelezea kijana ambae analelewa na mwanamke..
Sasa asili ya neno hilo linatoka kwenye wimbo mmoja wa Franco Luambo, wimbo unahusu kijana mmoja mtanashati na msomi ,mwenye digrii, anaitwa Mario. Badala ya kutafuta kazi, Mario anachagua kuishi kwa kudanga anapata mwanamke mtu mzima mwenye pesa ,Sugar Mummy. Mwanamke huyo anachoka na tabia ya Mario ya anasa, uvivu, na dharau, hivyo anamfukuza na kumwambia arudi kwa wazazi wake.
Hio nyimbo ilikuwa maarufu sana hadi hilo neno Marioo likawa jina rasmi kwa vijana wenye tabia kama hizo, wimbo ulitoka mwaka 1985.
Kwenye hu wimbo Franco amepiga kwa ufundi sana gitaa la solo...
View: https://www.youtube.com/watch?v=7zZyGkGN7Sw
Mimi ni millennial, itoshe kusema hivyo...Duuh sawa😂
Mkuu ww ni old school au umeme a tu kutoka mtandaoni?