Hivi kuna msanii wa kike Afrika anayemzidi Tems?

Hivi kuna msanii wa kike Afrika anayemzidi Tems?

Mimi ni millennial, itoshe kusema hivyo...
Naikiliza miziki yote hadi taarab.. na huwa napenda kufahamu maana ya nyimbo hata kama ni lingala...
Me too,
Rnb, pop, country, EDM, lofi, indie, afro beat kwa mbali sana, hip hop ni ile ngumu.. Bongo fleva napenda throwback za kina belle9, tid, Ali, kina mandogg, napenda mziki niusikie kwenye perspective ya Mtunzi nijue why aliimba vile..

Ila muziki wa zamani in the 80's kushuka chini ndo sina uzoefu nao..
 
Me too,
Rnb, pop, country, EDM, lofi, indie, afro beat kwa mbali sana, hip hop ni ile ngumu.. Bongo fleva napenda throwback za kina belle9, tid, Ali, kina mandogg, napenda mziki niusikie kwenye perspective ya Mtunzi nijue why aliimba vile..

Ila muziki wa zamani in the 80's kushuka chini ndo sina uzoefu nao..
Safi kama unapenda muziki huwezi kubagua bagua..
 
Screenshot_20260625_135931_Samsung Music.jpg
 
Are you an artist or something?
Hapana mkuu..
Napenda tu kusikiliza muziki na kufuatilia tu..


Ukifuatilia muziki wa nyuma unakuja kugundua hii dunia hakuna kipya na tunapita , maana kulkuwa na wasanii wakali sana lakin walishapita...

Ngoja nikupe story moja ...

Oliver Mtkudzi na ngoma yake ya 'Todii'..
Hio nyimbo ni kisa cha kweli, maana ya todii kwa lugha ya kishona ni tufanye nini au tunaelekea wapi?
Hii nyimbo ni ya huzuni ikihusu kisa cha kweli kilichomtokea Oliver mwenyewe,

Katika miaka ya 1980 na 1990, bara la Afrika lilikuwa linakabiliwa na janga kubwa la ugonjwa wa HIV. Wakati huo, hakukuwa na dawa za ARVs, na mtu akigundulika na ugonjwa huo alitengwa na kuchekwa na jamii nzima.

Oliver Mtukudzi alikuwa na rafiki yake wa karibu sana ambaye pia alikuwa meneja wa bendi yake, mwanamuziki Mwendy Chibindi. Mwendy alikuwa kama ndugu wa damu wa Oliver, Ghafla Mwendy aliarifiwa kuwa ana virusi vya HIV na akaanza kuugua sana.

Mwendy alipokuwa kitandani akisubiri kifo, alimwomba Oliver asimwambie mtu yeyote nchini Zimbabwe kuhusu ugonjwa wake kwa sababu aliogopa watoto wake watanyanyaswa na kuchekwa shuleni...

Oliver akiwa na maumivu makali moyoni, alikaa chumbani akitazama jinsi rafiki yake anavyokwisha. Alichukua gitaa na kuanza kuandika wimbo wa Todii. Katika mistari ya wimbo huo, Oliver anauliza maswali mazito kuhusu Mungu na jamii...

Mwendy alifariki dunia muda mfupi baada ya wimbo huo kutoka. Oliver hakuvunja ahadi yake , hakuwahi kutaja hadharani kuwa rafiki yake alikufa kwa ukimwi hadi pale unyanyapaa ulipopungua miaka mingi baadaye....

Hii nyimbo ilimpa umaarufu mkubwa Oliver na hadi shirika kama UNICEF waliona mchango wake na kumteua kuwa balozi wao kwa kanda ya Afrika mashariki na kusini...


View: https://www.youtube.com/watch?v=dHMjH2LbNSA

Nyimbo nyingi huwa nasikiliza na kufuatilia story yake.. napenda kufuatilia pia inahusu nini, kama hii Todii kuna baadhi ya mistari nimekariri alimaanisha nini... lakini hii nyimbo utakuta watu wanaiweka hadi kwenye sherehe.. 🤣
 
She's ma favorite artist..

The first time nasikiliza wimbo wake.. Essence I was in awe!

It was pure art, in its essence ngoma ya essence ilikuwa essential..

Ni mwanamziki asiyependa Kiki but ana Grammy yake mkononi. Hama makuu, polite hapendi Kiki, ni yeye na kazi tuu

I love tems, till I die

View attachment 3614463View attachment 3614464
View attachment 3614465

My favorite song
Free mind
Lyrics that struck

"I've been on the low,
I've been taking my time
I feel like I'm out of my mind
It feels like my life is a blur
I've been so up and down,
I feel like I'm out of my mind
I feel like my life is a curse"

Why, because my mind goes so fast... And I just wanna get free from its flashlight thoughts..

Do you think she's the goat in Africa?
If not who's your fav?

meghan markle
Binafsi ndio namsikia leo
 
Back
Top Bottom