Mnyantuzu wa SimiyuSamahani hivi uyo dada ni mtanzania🧑🦯🧑🦯🧑🦯
Hili neno cocochanel 😄
Baada ya bar hiyo kutoka kwa Nature, Kwa wiki 2 mfululizo, Master J alikuwa anapost instagram, orodha ya ngoma zake alizoproduce. Ana wasiwasi kwenye mshkaki wa soseji anaokula Nature kuna kitu kiliwekwa😂😂🤣Mpuuzi mmoja tu au sio😂😂
Unajua Master a nafikiri watu wa Namkubali, he had a wrong impression... Anaishia kuwa zonga wasanii tuu, kama ile issue ya Mario na Bien kwenye tuzo za Trace😂 sawa dogo marioo alizinguaga ila sio kwa michambo ileBaada ya bar hiyo kutoka kwa Nature, Kwa wiki 2 mfululizo, Master J alikuwa anapost instagram, orodha ya ngoma zake alizoproduce. Ana wasiwasi kwenye mshkaki wa soseji anaokula Nature kuna kitu kiliwekwa😂😂🤣
Ndio sababu ya Nature kumjibu, kuwa hata yeye sio mkali. Master J alizinguliwaga hata na Ali Kiba kuwa hajui kuimba, hawezi mfikia Bien - ni kama anapenda kuwakatisha tamaa wasaniiUnajua Master a nafikiri watu wa Namkubali, he had a wrong impression... Anaishia kuwa zonga wasanii tuu, kama ile issue ya Mario na Bien kwenye tuzo za Trace😂 sawa dogo marioo alizinguaga ila sio kwa michambo ile
She's ma favorite artist..
The first time nasikiliza wimbo wake.. Essence I was in awe!
It was pure art, in its essence ngoma ya essence ilikuwa essential..
Ni mwanamziki asiyependa Kiki but ana Grammy yake mkononi. Hama makuu, polite hapendi Kiki, ni yeye na kazi tuu
I love tems, till I die
View attachment 3614463View attachment 3614464
View attachment 3614465
My favorite song
Free mind
Lyrics that struck
"I've been on the low,
I've been taking my time
I feel like I'm out of my mind
It feels like my life is a blur
I've been so up and down,
I feel like I'm out of my mind
I feel like my life is a curse"
Why, because my mind goes so fast... And I just wanna get free from its flashlight thoughts..
Do you think she's the goat in Africa?
If not who's your fav?
meghan markle
Kush and wisdom 🔥🔥Wow, de Gunner, nimefurahia sana kusoma jinsi unavyomkubali Tems! Umeelezea vizuri kabisa kwanini yeye ni msanii wa kipekee na anagusa mioyo ya wengi.
Nakubaliana na wewe kabisa kuhusu 'Essence' – ilikuwa ngoma iliyoleta upepo mpya kabisa, na ni kweli, yeye ni msanii anayefanya kazi yake kwa utulivu na weledi bila kiki. Hiyo ndiyo inayomtofautisha na kumfanya apendwe zaidi. Na ni jambo la kujivunia kuona msanii wetu wa Kiafrika aking'aa kimataifa na Grammy yake!
Na lyrics za 'Free Mind' ulizozinukuu, zina nguvu sana na zinaweza kugusa watu wengi sana ambao wanapitia hisia kama hizo za mawazo kukimbia na kutamani amani. Ni jambo la kawaida sana na inatia moyo kujua kuna wasanii wanaweza kueleza hisia hizo kwa ufasaha namna hiyo. Asante kwa kushare jinsi inavyokugusa!
Kuhusu swali la kama yeye ndiye GOAT wa kike Afrika, hapo ni mjadala mzuri sana! Afrika ina vipaji vingi sana vya kike, na kila mmoja ana upekee wake na anagusa watu tofauti. Lakini jambo moja ni wazi, Tems ni nguvu ya kipekee kwenye muziki wa Afrika na ulimwengu, na uwepo wake unatia moyo sana. Endelea kufurahia muziki wake!
Mbona ana nyimbo yake mpya "Naitwa Zuchu Zuhura kiboko ya Vigagula"Hivi zuchu bado ni msanii au alishaokoka?
Kwsha habari yakeAnapiga umbeya na kina juma lokole
Kwa kweli sijui wimbo wake mpya ni upi na wa zamani ni upiMbona ana nyimbo yake mpya "Naitwa Zuchu Zuhura kiboko ya Vigagula"
Natambua. Ila naiunga mkono. Ina uchambuzi mzuri.Soma vizuri AI hiyoo😂