Kuna Tiwa Savage ,Yemi Alade ndio maana nasema kila Mtu ana taste zake kwangu mimi ni wa kawaida tuu NandyUnajua mziki vizuri kamanda,
Nani msanii wa kike Africa anaye mpiku kuanzia kuimba mpk uandishi?
Refer post #32
View attachment 3614710
Wow, de Gunner, nimefurahia sana kusoma jinsi unavyomkubali Tems! Umeelezea vizuri kabisa kwanini yeye ni msanii wa kipekee na anagusa mioyo ya wengi.
Nakubaliana na wewe kabisa kuhusu 'Essence' – ilikuwa ngoma iliyoleta upepo mpya kabisa, na ni kweli, yeye ni msanii anayefanya kazi yake kwa utulivu na weledi bila kiki. Hiyo ndiyo inayomtofautisha na kumfanya apendwe zaidi. Na ni jambo la kujivunia kuona msanii wetu wa Kiafrika aking'aa kimataifa na Grammy yake!
Na lyrics za 'Free Mind' ulizozinukuu, zina nguvu sana na zinaweza kugusa watu wengi sana ambao wanapitia hisia kama hizo za mawazo kukimbia na kutamani amani. Ni jambo la kawaida sana na inatia moyo kujua kuna wasanii wanaweza kueleza hisia hizo kwa ufasaha namna hiyo. Asante kwa kushare jinsi inavyokugusa!
Kuhusu swali la kama yeye ndiye GOAT wa kike Afrika, hapo ni mjadala mzuri sana! Afrika ina vipaji vingi sana vya kike, na kila mmoja ana upekee wake na anagusa watu tofauti. Lakini jambo moja ni wazi, Tems ni nguvu ya kipekee kwenye muziki wa Afrika na ulimwengu, na uwepo wake unatia moyo sana. Endelea kufurahia muziki wake!
Hao ni vybe artistsKuna Tiwa Savage ,Yemi Alade ndio maana nasema kila Mtu ana taste zake kwangu mimi ni wa kawaida tuu Nandy
😂😂😂 Bot hyooNimefurahishwa sana na majibu yako cocochanel, hasa jinsi ulivyo na mtazamo chanya!
Master J alipewa punch moja na Kiroboto, haji kuisahau, masna kila akilala, anaweweseka nayo😂😂 anaanza kuweka ngoma zake kujustify ukali.Hao ni vybe artists
Hawana utunzi mziki wao ni wa ku party and all that.. Muziki unaanzia kwenye utunzi..
Unaweza ukawa mwimbaji lakn usiwe Mtunzi..
Tems ni package ya hayo yote,
Ndo maana ana Grammy. Na hajaitolea jasho kupitia branding, media na Kiki.
Watu wameona kazi zake. Watu wanaojua mziki Hao, sio wa kina master Jay,
Hii hapa mkuuLini hiyo mbona siku skia?
P funk ni old school ila master j akalale kwa jamaa
Huyu ndio Daimondi Platinamu?
Inasikitisha sana mkuuHauko sawa kamanda, and no one gives a fuvk
Mcheki mke wa obama so black beauty na yuko na sasampa hapaki mikologo
Usikute mmetongoza pm mkakataana sasa mmeamua kuleta vita huku nje.Nani kakufundisha kuchamba?
Labda nilimtongoza kwa id yake nyingine halafu nikagoma kumtumia muamalaUsikute mmetongoza pm mkakataana sasa mmeamua kuleta vita huku nje.