umeona eeSidhani kama hata nikikutana naye naweza kugeuza shingo nikamtazama. Kwa mtazamo wangu namuona ni msichana wa kawaida tu pamoja na kuwa anatumia vipodozi vingi.
wallah tena vijana mnajijua na lugha zenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanawake bwanaumeona ee
hichi ndo kinani???Hamfikii huyu kiumbe kwa uzuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hichi ndo kinani???
mbona kitunda cha kawaida...Mtake radhi Tunda, yaan unamfananisha Tunda na Wasichana cheap kama hao??
Yaan ni sawa kumlinganisha Kim Kardashian na Shilole
umeongea ukweli, kuna mmoja anauza kaunta ana ngozi nyororo inaeleza samaki kambale hafai.Mzuri kwako wewe. Njoo Palm View Pub ipo kigogo mwisho kuna wahudumu wazuri balaa Tunda hawafikii kwa uzuri
[emoji15] [emoji15] [emoji15]labda bahaka kuliko wote
Haaah aa ha aaahTembea ndio utaona warembo ndugu oooh! We unaona mademu wa insta ndio unakurupuka! Kuna vyombo hatar wewe ukiviona unaweza ukahonga hela ya urithi yote!
Aisee nilichogundua hawa wadada maarufu wanabebwa na make ups tuKana rangi mbayaaa ...madoadoa kama kombati ya jeshi..hzo camera na filter zinakuzuzua kutananae live sasa
Wakawaida hata demu wako anaweza akawa mzuri kuliko yeye
Eti sigda dah
Eti sigda dah