Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

Kunakipindi Irene Uwoya alikua anaonekana kama queen of Tanzania..wakati tuna wadogo zetu walikua wanamkimbiza haifai na ndo mtazamo wako kwa huyo binti.
 
Hamfikii huyu kiumbe kwa uzuri
PhotoGrid_1441539565995.jpg
hichi ndo kinani???
 
Tembea ndio utaona warembo ndugu oooh! We unaona mademu wa insta ndio unakurupuka! Kuna vyombo hatar wewe ukiviona unaweza ukahonga hela ya urithi yote!
 
Kana rangi mbayaaa ...madoadoa kama kombati ya jeshi..hzo camera na filter zinakuzuzua kutananae live sasa

Wakawaida hata demu wako anaweza akawa mzuri kuliko yeye
Aisee nilichogundua hawa wadada maarufu wanabebwa na make ups tu
 
Eti sigda dah

Ndio hivyo mkuu,si unajua madem wa dizaini hii wekware wengi wanawatolea macho sana na kimsingi hata akiwa anakaza vp lazima tu ataliwa na wengineo,kwa hyo unakuta sigda automatocally inakuwepo tu,na ukata huu wa magufuli unaopelekea hadi wakina wema sepetu wanakunywa viroba unategemea nn tena
 
Back
Top Bottom