miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
halafu kuna jambo kama nimegundua siri yangu angalia picha vizuriNaona vigoma vya daku tu. Hongera zako mtoa mada.
Aya bana ,Mulhat Mpungasasa wewe unajua ndani ni k tu ungekuwa hapa ningekukata mtama ili akili ikukae sawa😎😎😎😎😎
hahahahhaAya bana ,Mulhat Mpunga
Umegundua nini??halafu kuna jambo kama nimegundua siri yangu angalia picha vizuri
Wengi humu mnaishia kuponda tumeni picha za hao wazuri tuwalinganisheKama ndio msichana Wa kwanza kumuona unaweza ukasema hamna lakini kama umetembea huwezi sema ni mzuri
Hamna kitu hapo
Mbona kama unatulazimisha kusema mzuri ??Wengi humu mnaishia kuponda tumeni picha za hao wazuri tuwalinganishe
Kuna manzi mmoja nilikutana nae pale Safari Hotel mwaka 2009.. Kwanza ile kumwona tu nilishtuka na mpaka leo hajatoka kwenye ubungo wangu. Sijawahi kumwona mwanamke mzuri vile maishani iwe live ama kwenye TV.. Bahati mbaya sijawahi kumwona tena huyo mwanamkeDah bongo unasemea Daslaam au Tanzania ? Mkuu umetembea kote Tanzania ukaona hamna wa kumzidi Tunda ? Ila kasupuu muda wote kapo ripe amekaa kuliwa liwa tu
Kwani wahudumu wa bar sio wanawake??Sasa wewe wahudumu wa bar ndio wa kuwalinganisha na mtoto kisu alaf matawi kama tunda??
sisemi kwa kuwa ni demuUmegundua nini??
Mimi mteja tu ndugu.mkuu we n mmilki wa io Pub au?km umteja nami umenipata Mkuu.
Nakuja
Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
hamna mkuu umeninukuu vibaya , mimi nimeuliza tu na hata ukiangalia title ina alama ya kuulizaMbona kama unatulazimisha kusema mzuri ??
Nimerudia na kurudia.Ngoja nije pm uninong'oneze!halafu kuna jambo kama nimegundua siri yangu angalia picha vizuri
Aha...Sawahamna mkuu umeninukuu vibaya , mimi nimeuliza tu na hata ukiangalia title ina alama ya kuuliza
Ili bidi ukatae kwa kutaja nani mzuri zaidi yake alaf tuone kama kweli
Umeona papuchi au ??sisemi kwa kuwa ni demu
acha tuNimerudia na kurudia.Ngoja nije pm uninong'oneze!
Kigogo kuna wanawake au wacheza mpira wa ile timu ya taifa ya wanawake..Why unawaita cheap?? Nimekwambia kuhusu uzuri uliosema wa Tunda, ndio nikakwambia njoo Palm View Pub ipo kigogo mwisho kuna wahudumu wazuri kuliko Tunda. Kama unabisha njoo maeneo hayo jioni. Maana muda wa jioni km Leo nitakuwa hapo nikipata Castle Lite Baridiiiii...