Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

Kama ndio msichana Wa kwanza kumuona unaweza ukasema hamna lakini kama umetembea huwezi sema ni mzuri
 
Dah bongo unasemea Daslaam au Tanzania ? Mkuu umetembea kote Tanzania ukaona hamna wa kumzidi Tunda ? Ila kasupuu muda wote kapo ripe amekaa kuliwa liwa tu
Kuna manzi mmoja nilikutana nae pale Safari Hotel mwaka 2009.. Kwanza ile kumwona tu nilishtuka na mpaka leo hajatoka kwenye ubungo wangu. Sijawahi kumwona mwanamke mzuri vile maishani iwe live ama kwenye TV.. Bahati mbaya sijawahi kumwona tena huyo mwanamke
 
Mbona kama unatulazimisha kusema mzuri ??
hamna mkuu umeninukuu vibaya , mimi nimeuliza tu na hata ukiangalia title ina alama ya kuuliza


Ili bidi ukatae kwa kutaja nani mzuri zaidi yake alaf tuone kama kweli
 
Why unawaita cheap?? Nimekwambia kuhusu uzuri uliosema wa Tunda, ndio nikakwambia njoo Palm View Pub ipo kigogo mwisho kuna wahudumu wazuri kuliko Tunda. Kama unabisha njoo maeneo hayo jioni. Maana muda wa jioni km Leo nitakuwa hapo nikipata Castle Lite Baridiiiii...
Kigogo kuna wanawake au wacheza mpira wa ile timu ya taifa ya wanawake..
 
Back
Top Bottom