Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

Hata BIBI KIDUDE alikwa mzuri kuliko yeye, .....kama unabisha, niambie uzuri wa mtu ni nn kwa mtazamo wako!
 
Kuna mmoja nlimuona juz.aaah mkali kuliko uyo tena anachura yule wa kizungu na height ya kutosha.
Natural na short hairstyle
 
Huyo nguchiro hana hata chura labda mzuri kwenye ule mtandao wa instagram ile kwenye yale mqmbo yakikubwa hamna kitu hapo
 
Mimi wanawake wenye makalio makubwa siwakubali kiviiile labda kwa fahari ya macho

Ila kwenye mambo yetu napenda vitoto modo kama huyo tunda , ukimshika anashikika
 
Mtake radhi Tunda, yaan unamfananisha Tunda na Wasichana cheap kama hao??

Yaan ni sawa kumlinganisha Kim Kardashian na Shilole
Why unawaita cheap?? Nimekwambia kuhusu uzuri uliosema wa Tunda, ndio nikakwambia njoo Palm View Pub ipo kigogo mwisho kuna wahudumu wazuri kuliko Tunda. Kama unabisha njoo maeneo hayo jioni. Maana muda wa jioni km Leo nitakuwa hapo nikipata Castle Lite Baridiiiii...
 
Wanawake wengi wenye sura ya mauzo huwa wasumbufu maana anamini wanao mhitaji niwengi ilq wale wenye sura za dk lem huwa hawasumbuw
 
Binafsi sioni uzur wake insuch kwa kutojistiri kwake as a woman suppose to b..
 
Why unawaita cheap?? Nimekwambia kuhusu uzuri uliosema wa Tunda, ndio nikakwambia njoo Palm View Pub ipo kigogo mwisho kuna wahudumu wazuri kuliko Tunda. Kama unabisha njoo maeneo hayo jioni. Maana muda wa jioni km Leo nitakuwa hapo nikipata Castle Lite Baridiiiii...
Sasa wewe wahudumu wa bar ndio wa kuwalinganisha na mtoto kisu alaf matawi kama tunda??
 
Why unawaita cheap?? Nimekwambia kuhusu uzuri uliosema wa Tunda, ndio nikakwambia njoo Palm View Pub ipo kigogo mwisho kuna wahudumu wazuri kuliko Tunda. Kama unabisha njoo maeneo hayo jioni. Maana muda wa jioni km Leo nitakuwa hapo nikipata Castle Lite Baridiiiii...
Ndugu nielekeze hilo chimbo nije nijionee vyuma, ila nihakikishie kama wanazo chura...
 
Back
Top Bottom