nafiaafrca
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 248
- 308
Yupi mnazungumzia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo nilio muweka hapoYupi mnazungumzia
Mkoani visu kama hivyo hamna, mkoani unashindwa kutofautisha mwanamke na mwanamme wote wamekomaa alaf wana vigimbi ,teh teh tehwanaume wa dar kazini
Quadratic za nini bana wakati mtoto anaweza kutafuta nusu kipenyo cha duaraAkiambiwa atafute jawabu la swali lifuatalo kwa kutumia kwadratiki fomula anaweza? (2X^2)+(5X)+2=0
Kama hawezi sio mzuri!
Mimi wanawake wenye makalio makubwa siwakubali kiviiile labda kwa fahari ya machoHuyo nguchiro hana hata chura labda mzuri kwenye ule mtandao wa instagram ile kwenye yale mqmbo yakikubwa hamna kitu hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Quadratic za nini bana wakati mtoto anaweza kutafuta nusu kipenyo cha duara
Why unawaita cheap?? Nimekwambia kuhusu uzuri uliosema wa Tunda, ndio nikakwambia njoo Palm View Pub ipo kigogo mwisho kuna wahudumu wazuri kuliko Tunda. Kama unabisha njoo maeneo hayo jioni. Maana muda wa jioni km Leo nitakuwa hapo nikipata Castle Lite Baridiiiii...Mtake radhi Tunda, yaan unamfananisha Tunda na Wasichana cheap kama hao??
Yaan ni sawa kumlinganisha Kim Kardashian na Shilole
Sasa wewe wahudumu wa bar ndio wa kuwalinganisha na mtoto kisu alaf matawi kama tunda??Why unawaita cheap?? Nimekwambia kuhusu uzuri uliosema wa Tunda, ndio nikakwambia njoo Palm View Pub ipo kigogo mwisho kuna wahudumu wazuri kuliko Tunda. Kama unabisha njoo maeneo hayo jioni. Maana muda wa jioni km Leo nitakuwa hapo nikipata Castle Lite Baridiiiii...
Cheap kivipi kwani huyo Tunda ya kwake ipo kichwani ?Mtake radhi Tunda, yaan unamfananisha Tunda na Wasichana cheap kama hao??
Yaan ni sawa kumlinganisha Kim Kardashian na Shilole
Ndugu nielekeze hilo chimbo nije nijionee vyuma, ila nihakikishie kama wanazo chura...Why unawaita cheap?? Nimekwambia kuhusu uzuri uliosema wa Tunda, ndio nikakwambia njoo Palm View Pub ipo kigogo mwisho kuna wahudumu wazuri kuliko Tunda. Kama unabisha njoo maeneo hayo jioni. Maana muda wa jioni km Leo nitakuwa hapo nikipata Castle Lite Baridiiiii...
Kwaio unawata kule kwny three sixty? sawa mkuuLeo watu mmeamka na ushwaini sana .. Naona thread za mademu tu leo..
Ngoja nirudi kwa mange kule insta nikaangalie update
kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahafai kuwa mke lakini anafaa kuwa nyumba ndogo kwa sababu ni mtamu sana
Ukimuoa huyo utajipa presha muda wowote watu wanampandia dau