Punguza kujichekesha chekesha kwa emoji unapo reply comments za wanaume product ya nazi inaweza ikatumika kwenye mwili wako😆Pole Sana ndugu avatar yako na toxicity haziendanagi mtoe huyo jamaa kwenye avatar yako WEKA MANDONGA MTU KAZI, MWIJAKU, STEVE MANGELE E.t.c 🤣😁 kwa uchachee
India ni failed country.Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha.
Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu.
Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
wewe unaongelea India?!! Watu tumeenda Afghanstan na tumetoboa kwa asilimia 0.2Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha.
Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu.
Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
SURE!!!!!!! Rafiki yangu mmoja alikuwa anafanya kazi hospitali moja ya mhindi hapa Tanzania. Alimpiga dola 40,000/-akajenga nyumba nzuri baada ya mwezi ilinyumba iliuungua yote.Na ukiwaibia hizo hela hutofanyia la maana, utaishia kulewea tu na kuhonga malaya.
Ndiyo maana wanajinyonga,akili zinaruka mtu anatoka na gobore kwenda kupiga watoto shule au sokoni,hawasosholaiziKwani muda unawadai mkuu shida ya nchi zilizoendelea watu mpo busy na malipo ya kodi nyingi sana hata muda wa kuongea na mtu hauna kabisaa unakua kama upo jela tu life uwe na muda wa kutafuta pesa na ku enjoy na jamaa ikiwezekana sio muda wote upo busy kama umetumwa kuwa busy..
kwani huo muda nilioupoteza ananidai nani mpaka niufidie?,,😳🤔Ila africa kuna tatizo sana,kabisa mtu unasema mlikua kijiweni mnapoteza muda?
Huo muda mliopoteza mtaufidiaje?
Pana watu wao wanaamini katika kufanya kazi tu kama ndio sifa kwao wakati inatakiwa utenge hata muda wa kuwa na jamaa zako upige story au upeleke familia sehemu waka enjoy life wao kupumzika wanaona wanachezea muda kwa maisha yap hayo unayatafuta kama kupumzika tu kwako ni kosa..Ndiyo maana wanajinyonga,akili zinaruka mtu anatoka na gobore kwenda kupiga watoto shule au sokoni,hawasosholaizi
Hata wengine wanaokwenda kutibiwa India walisema kama wewe.Kwa wahindi hapana aiseee
Ile ni Medical tourism.Hata wengine wanaokwenda kutibiwa India walisema kama wewe.
Sikushangai.
Sikuelewi unachoandika.Ile ni Medical tourism.
Ukiwa mtalii huwezi kuona hali halisi.
Hata Zanzibar uki-concentrate maeneonya watalii huwezi kuona matoroli ya ambulance
SIDDI PEOPLE.watanzania wengi naowasikia leo kuwa wapo nchi za Ulaya na Asia kuanzia miaka ya Mwanzoni ya 70, maka ya 60 na Kabla, elewa kuwa safari yao ilianzia bandari ya Dar kuelekea India.
Enzi hizo usafiri pekee wa rahisi na urahisi wa kuchomoka Tanzania / Tanganyika ulikuwa kupitia Inda kwa meli mbili marufu ziizokuwa zikija Dar, nazo n MV Karanja na MV Haryana.
Mabaharia walioelekea Ugiriki enzi hizo hiyo ndiyo ilikuwa route yao kuu.
Licha ya hayo. India na Bandari za Tanzania zina maingiliano na uhusiano mkubwa Kihistoria wa kibiashara kabla sana ya ujio wa wakoloni wa kizungu.
una kabila la Kiafrika India na Pakistan ambalo kwa asilimia kubwa asili yao ni Afrika Mashariki.
Bila kutafuna maneno, kumbuka kuwa una wajomba na shangazi zako huko Kihistoria kuna mpaka tawala za Kiafrika, India.
Ukiwa na akili za biashara / ujasiriamali kama wahindi utatoboa sana. Lakini ukienda unataka kua machinga utakuta Kuna wenzio huko wamachinga wameisha kuzidi sana.Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha.
Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu.
Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?