Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,932
- 34,918
Huwezi kwenda kutafuta maisha hapo👇👇Sikuelewi unachoandika.
View: https://youtu.be/L8H_I-JvJgQ?si=gtLAR_FUaOBYn3wz
Huwezi kwenda kutafuta maisha hapo👇👇Sikuelewi unachoandika.
Watu wengi hawana taarifa za maisha ya Nchi nyingi ndio maana utakachoongea hautaeleweka India wana vitu vya ujenzi bora sana kupita Nchi nyingi pana jamaa mmoja alianza kuleta vyoo tena vile vya kuchuchumaa ndio vilimtoa huko India mpaka wengine kuja kustukia biashara baadae sana na alikua anasota tu huko hata vitu vya watoto India wapo vizuri sana sema hizo connection wanapeana wao ila ukiweza kuishi kwao utapata kitu.Hata wengine wanaokwenda kutibiwa India walisema kama wewe.
Sikushangai.
Duh bora kubaki bongoLabda ukatoboe puto. Nchi inanuka kimba kila kona
View attachment 3356516
View attachment 3356515
View attachment 3356517
View attachment 3356518
Kamanda Khanji kapoor akioongoza kikosi kazi
Umo kichwani mwako umejaza KAMASI 🕳️🕳️🕳️🕳️Punguza kujichekesha chekesha kwa emoji unapo reply comments za wanaume product ya nazi inaweza ikatumika kwenye mwili wako
India kuna Caste system au matabaka. Dewji ni muislamu wa Gujirati kama mabaabu zake wangeamua kubaki kule asingekuwa anamiliki hata duka.Sijawahi kusikia nilokwenda kule kikazi mwaka jana sasa kwenye hoteli niliyofikia mlinzi wa pale hotelini akaniomba nimfanyie mpango wa yeye kuja Tanzania kufanya kazi ya Ulinzi, nilimjibu haiwezekani.
Nikamuuliza mshahara wake nakumbuka ilikuwa kama rupee elfu 80 kama laki 2 na nusu ya kibongo nikamjibu huku Tz mshahara ni kama huo ila kwa mhindi hawezi kukubaliwa kuwa mlinzi Tanzania labda kwa professionals.
Jamaa alisikitika sana kwa mimi kukataa kumsaidia kuja bongo kuwa mlinzi.
Kule maisha ni magumu sana kule kuna maskini huku bongo hakuna maskini kama wale .
Kule kuna watu ukoo mzima haumiliki hata kijipande cha ardhi hata vijijini.
Huku bongo unakutana na maskini ila ana miliki ardhi huko kijijini kwao ,kule hakuna .
Kuna siku nilitembelea ubalozini nikakutana na dada wa kibongo analia kwamba alidanganywa kuna kazi akapelekwa kule akaishia kwenye danguro akawa anafanyishwa kazi za sex halipwi chochote zaidi ya kupewa msosi.
Siku hiyo alibahatika kutoroka akakimbilia ubalozini passport hana walikuwa wamemnyang'anya ubalozi ndio ukawa unawasiliana napolisi waende kuchukua passport yake.
Kali kulipo yote hapo ubalozini siku hiyo nikakutana na mhindi mbongo .
Huyo mhindi mbongo alikwenda India kusalimia bibi yake alikuwa mgonjwa sasa akakaa hadi passport yake ya kibongo ikaexpire sasa akawa anataka atengenezewe passport nyingine na ile fomu kuna sehemu inatakiwa ijazwe na mdhamini ambaye lazima awe mbongo akawa ananiomba nimjazie nikawauliza wale maofisa wa ubalozini kwa nini wasimjazie wao wakanijibu wao hawaruhusiwi. Wale maofisa waliniomba sana nimsaidie eti ni mtanzania mwezangu nilimjazia kwa shingo uoande sana manake ninavyowachukia wahindi basi tu.
Ila jamaa alikuwa anaongea kiswahili fresh aliniambia anaishi mitaa ya kariakoo.
Jamaa anakwambia mishe zake zote ni bongo kule hapafai.
India asikwambie mtu ni nchi moja ya hovyo sana ila wanaigeria noma wale jamaa niliwakuta kule hadi wana maduka na vimgahawa wanakomaa na wahindi .
Siwezi kamwe kumshauri mtu aende India kutafuta maisha
Kabisa angebakia india angekuwa masikini ashukulu wazee kuja bongoIndia kuna Caste system au matabaka. Dewji ni muislamu wa Gujirati kama mabaabu zake wangeamua kubaki kule asingekuwa anamiliki hata duka.
Kazi kweli kweliIla africa kuna tatizo sana,kabisa mtu unasema mlikua kijiweni mnapoteza muda?
Huo muda mliopoteza mtaufidiaje?
India ni nchi ya 5 kwa uchumi mkubwa duniani.Sijawahi kusikia nilokwenda kule kikazi mwaka jana sasa kwenye hoteli niliyofikia mlinzi wa pale hotelini akaniomba nimfanyie mpango wa yeye kuja Tanzania kufanya kazi ya Ulinzi, nilimjibu haiwezekani.
Nikamuuliza mshahara wake nakumbuka ilikuwa kama rupee elfu 80 kama laki 2 na nusu ya kibongo nikamjibu huku Tz mshahara ni kama huo ila kwa mhindi hawezi kukubaliwa kuwa mlinzi Tanzania labda kwa professionals.
Jamaa alisikitika sana kwa mimi kukataa kumsaidia kuja bongo kuwa mlinzi.
Kule maisha ni magumu sana kule kuna maskini huku bongo hakuna maskini kama wale .
Kule kuna watu ukoo mzima haumiliki hata kijipande cha ardhi hata vijijini.
Huku bongo unakutana na maskini ila ana miliki ardhi huko kijijini kwao ,kule hakuna .
Kuna siku nilitembelea ubalozini nikakutana na dada wa kibongo analia kwamba alidanganywa kuna kazi akapelekwa kule akaishia kwenye danguro akawa anafanyishwa kazi za sex halipwi chochote zaidi ya kupewa msosi.
Siku hiyo alibahatika kutoroka akakimbilia ubalozini passport hana walikuwa wamemnyang'anya ubalozi ndio ukawa unawasiliana napolisi waende kuchukua passport yake.
Kali kulipo yote hapo ubalozini siku hiyo nikakutana na mhindi mbongo .
Huyo mhindi mbongo alikwenda India kusalimia bibi yake alikuwa mgonjwa sasa akakaa hadi passport yake ya kibongo ikaexpire sasa akawa anataka atengenezewe passport nyingine na ile fomu kuna sehemu inatakiwa ijazwe na mdhamini ambaye lazima awe mbongo akawa ananiomba nimjazie nikawauliza wale maofisa wa ubalozini kwa nini wasimjazie wao wakanijibu wao hawaruhusiwi. Wale maofisa waliniomba sana nimsaidie eti ni mtanzania mwezangu nilimjazia kwa shingo uoande sana manake ninavyowachukia wahindi basi tu.
Ila jamaa alikuwa anaongea kiswahili fresh aliniambia anaishi mitaa ya kariakoo.
Jamaa anakwambia mishe zake zote ni bongo kule hapafai.
India asikwambie mtu ni nchi moja ya hovyo sana ila wanaigeria noma wale jamaa niliwakuta kule hadi wana maduka na vimgahawa wanakomaa na wahindi .
Siwezi kamwe kumshauri mtu aende India kutafuta maisha
Because of Cheap medications compared to Europe n AmericaHata wengine wanaokwenda kutibiwa India walisema kama wewe.
Sikushangai.
Ni kweli India uchumi wake mkubwa ila tatizo la India ni idadi kubwa ya watu, pamoja na ukubwa wake wa zaid Sq milion 3.2 ina idadi ya watu zaidi ya bilion 1 na milion Mia 4.