Hivi kuna mtanzania amewahi kwenda kutafuta maisha nchini India akatoboa?

wabongo walivyo matomaso sasa na ushuuda wote ila watataka kwenda
 
Hiyo ndiyo raha ya Africa, kuwa na muda wa kupoteza. Kukosa muda wa kupoteza siyo sifa.
Sijui kwann watu wanapenda kushindana kuonekana busy!!? Yan kuwa busy 24/7 kwa watu wengi huona kuwa ni sifa au ku slow down life kama mtu kapotea.sijui hii mentality kwann watubwanaimeza kama ilivyo , na hawa ni motivational speakers na ma influencer wa utube
 
Unajua tofauti ya lafudhi na lugha?
 
Sehemu yeyote yenye umaskini na ubaguzi ni ngumu sana kutoboa, hata US na utajiri wake, Southern states kama Alabama or Mississippi ni same shit kwa ajiri ya hizo sababu
Ni kweli kabisa mkuu,niliwahi kufika Alabama kuna mji unaitwa Mobile,una watu weusi wengi sanaa!!,halafu wengi wao choka mbaya na masela kwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…