Hivi kuna mtu alishawahi kuwa na uhusiano na kiumbe jini

Sheikh wangu Abdallah Salehe Kombo ameoa kabisa hayo majini. Huwa na yanampatia pesa sana. Anapata na utamu bure. Ana enjoy sana kwa maelezo yake na pia huwa pesa kwake si shida.
 
Nliskia anaweza kukujia Kwa staili unayoipenda,Mfano kama wewe ni team big Tako,basi mtoto jini atakuja amenona😋,Je hili linaukweli wakuu?
 
Swali halijajibiwa popote, nilijua kuna mtu anatoa ushuhuda kwamba anamubatua jini kwa sasa au aliwahi mubatua huko nyuma ndio ingekuwa mwafaka wa story.

Miaka ya nyuma nilikuwa nasoma kisa kwenye gazeti kuna jamaa alikuwa anaishi Temeke alikuwa analibatua na akawa amechoka hivyo anatafuta namna ya kuliacha.
Miaka ya hivi karibuni hizi story hazipo kabisa itakuwa watu hawana nguvu za kiume au vibamia sana majini yakaona yajifanye wao kwa wao
 
Nilitaka angalau nisikie haya mambo sasa naelewa.
 
Si Nasikia wanajua sana kuhonga?
😆 hapo ni mpaka ww ukanunue jini, ila jini halina uwezo wa kuja haraka haraka hivo labda iwe baba yako au uzao wako uliopita walilifuga halina mwangalizi tena, sasa latafuta wewe uwe mrithi.
 
Hata miaka hii wapo wanao enjoy na majini ila vigezo na masharti kuzingatiwa, tatizo la majini hawana utu wala ubinadamu sababu sio binadamu.
Wana act kama wanyama walivo wapo harsh kama ukienda ndivyo sivyo.
 
Mimi ninashawahi kuwa na uhusiano na jini Mahaba aka jini mwanamke kwa muda wa miaka 40 amenisumbuwa sana na kunitia nuksi nikawa siwezi kuwa na mke nikioa mke ninamuacha kazi ninafukuzwa watu wananisingizia eti mimi ni mchawi kila kibaya ninasingiziwa mimi. Watu wananichukia pasipo na sababu yoyote ile. Usirogwe ukiwa wewe ni Mwanamume ukapendwa na jini wa kike aka jini mahaba uko kwenye mtihani na balaa kubwa sana. Au usirogwe ukiwa ni Mwanamke ukapendwa na jini mahaba mwanamume ni hatari sana maisha yako yataharibika kabisa mwanamke hutoolewa na hutozaa maisha .

Jini mahaba wa kike anaye itwa kwa jina hili (Succubus)
 
Sasa mkuu ulifanyaje ukaondokana nalo mkuu, mimi inaonekana hili jini limenipenda kisa usafi wangu, yaani sitaki uchafu kabisa wa mwili wala ninapo lala.
 
Kwa mujibu wa Qur'an.
Moja ya sifa kuu ya Malaika ni Kuto muasi M/Mungu na Wanafanya Walivyo amrishwa(Kutii).
Shetani ni miongoni mwa Majini na ndio maana aliasi (Hakutii).
 
Punyeto ndiyo zina madhara gani mkuu elezea nijue how does it connected na jini.
Mkuu hapo inahitajika akili ndogo tuu

Ngono ipo kufanywa na ME&KE physically sasa kama mmoja kati yao anafanya kitendo kinachoshabihiana na ngono bila mtu wa jinsia nyingine mpaka anafikia climax/kileleni basi kipo kitu/mtu/kiumbe anakuwa connected nacho sexually
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…