Hivi kuna mtu alishawahi kuwa na uhusiano na kiumbe jini

Hivi kuna mtu alishawahi kuwa na uhusiano na kiumbe jini

We jamaa sema kwelii,
Hebu elezea kidogo hiii
Mimi nakumbuka nikiwa mdogo niliwahi kulelewa kwa marehemu babu alikuwaga mganga wa majini, mtaalamu wa kutega na kufukuza majini na alikuwa mfugaji mzuri wa majini na misukule ya kienyeji
Kuhusu hao majini tulikuwa sometimes tunakunywa nao chai asubuhi.
 
Back
Top Bottom