Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Brevis zimeharibiwa jina na wanaodai zinakula wese la maanaToyota Brevis ipewe heshima yake. Hii gari ingawa ni sedan uwezi kulinganisha na sedan za ulaya kwenye kustahimili njia mbovu ikipita kwa spidi na ukirudi huwazi kwenda gereji...
Utoto tuMuda wote huo unaposhindana unapata nini?! Au faida gani. Acha ujinga
Kuna sedan nzito zaidi ya Brevis, tell me u r jokingSekunde 5 kwa gari inayoweza kufika 240 kwa mfano kwa saa, wewe mwenye 180 huchukui round, anakupita kama upo kwenye bajaji au trekta. Achan kabisa na magari ya Europa. Unaweza kukuta yana Engine ndogo lakini ni moto wa kuotea mbali, kwenye kona yanashika njia,kwanza gari zao ni mazito sana hivyo yako stable.
Halafu cha ajabu mi hata sioni kama inakula wese, maana mafuta hata ya buku 10 tu unaenda job na kurudi tena kwenye foleni kali na yanabaki mafuta kibao tu, tena hiyo gari ya 2002 na mafuta unakanyaga kibati full time, sasa hata sijui huwa wanazingumzia nini..Brevis zimeharibiwa jina na wanaodai zinakula wese la maana
Brevis curb weight ni 1520kgs while Nissan fuga curb weight ni 1680kgsKuna sedan nzito zaidi ya Brevis, tell me u r joking
Brevis bei bwerereView attachment 1486877
Na hio bei bado ni kubwa.Brevis bei bwerereView attachment 1486877
wewe utaua.π€£π€£ππUnakuta mtu unaendesha zako 50kph huna habari na mtu, taratiiibu kabisa, huku ukiburudika na mziki lainiii..., halafu ghafla anakuja mtu kwa nyuma na kuanza kukuwashia mafull light kwamba yaani unampotezea muda eti umpishee..., na sehehemu inakibao kabisa chan50kph.
Sasa watu kama hao dawa yao huwa naijua, ni kuwazalilisha tu, kiasi kama yuko na wenzake humo hadi aone aibu, ni kumwaibisha tu...
Yes Kuna page Insta niliona wanauza Mil 4 namba D. Nasubiria muanzisha mada naye apigike aje aniuzie mil3Na hio bei bado ni kubwa.
Mkuu ndio JF hii....hakuna mnyonge humu wengine magari wanaendesha kwenye magame tu ya computer sema sasa humu balaa lake zito
Hata mie naona..! Watu wanaleta ligi za nyuma ya keyboard.!
Sent using Jamii Forums mobile app
You are just looking for a shortcut to hell........
BREVIS imekaa ovyo sanaKwa hiyo wewe unamiliki brevis, mwendesha harrier alitaka kkudharau asijue wewe upo na chuma ya elcopta brevis!
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ Hatari sana!Nyie pigeni kelele tu mkinikuta na Boxer Bm 150 nimepiga viroba vyangu nawapita kama mmesimama.
Aisee.....mbona natamani kumvua mtu liwe kama backup car...[emoji12]..siku nikiokota pochi ya mzungu..Njoo madale jamaa analiuza m3 no dgl