Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

Sekunde 5 kwa gari inayoweza kufika 240 kwa mfano kwa saa, wewe mwenye 180 huchukui round, anakupita kama upo kwenye bajaji au trekta. Achan kabisa na magari ya Europa. Unaweza kukuta yana Engine ndogo lakini ni moto wa kuotea mbali, kwenye kona yanashika njia,kwanza gari zao ni mazito sana hivyo yako stable.
Kuna sedan nzito zaidi ya Brevis, tell me u r joking
 
Brevis zimeharibiwa jina na wanaodai zinakula wese la maana
Halafu cha ajabu mi hata sioni kama inakula wese, maana mafuta hata ya buku 10 tu unaenda job na kurudi tena kwenye foleni kali na yanabaki mafuta kibao tu, tena hiyo gari ya 2002 na mafuta unakanyaga kibati full time, sasa hata sijui huwa wanazingumzia nini..
 
Brevis bei bwerere
Screenshot_20200623-124256.jpg
 
Unakuta mtu unaendesha zako 50kph huna habari na mtu, taratiiibu kabisa, huku ukiburudika na mziki lainiii..., halafu ghafla anakuja mtu kwa nyuma na kuanza kukuwashia mafull light kwamba yaani unampotezea muda eti umpishee..., na sehehemu inakibao kabisa chan50kph.

Sasa watu kama hao dawa yao huwa naijua, ni kuwazalilisha tu, kiasi kama yuko na wenzake humo hadi aone aibu, ni kumwaibisha tu...
wewe utaua.🤣🤣🚕🚕
 
Back
Top Bottom