Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

Hiyo speed ndogo sana mkuu. Wewe tunakuonea huruma tunakupa subaru wrx ambayo haijafanyiwa tuning.
 
Hiyo speed ndogo sana mkuu. Wewe tunakuonea huruma tunakupa subaru wrx ambayo haijafanyiwa tuning.
Hahaha, nimetoka kuchakaza hiyo WRX juzi tu usiku njia ya Mwenge kwenda ubungo, hivyo vigari vinamakelele kiasi kama hujui unaweza kuogopa, kila saa nilikuwa nasikia kinapiga kelele za mluzi kama mtu anafyonza kitu hivi, 'swwiiiiiii, swiiiiiii, swiiiii....' hadi nikapagawa, basi nikaweka 'TRC off' halafu nikawasha 'ECT Power', ndugu, nikaona mashine inaanza kupaa' hahahabah, raha sana jinsi nilivokapita kama kamesimama at 170kph, sijui aliwaza nini baada ya kuonalile tukio, hahahahahah, it ws priceless, i would like more of those WRX toys, atleast zinatoa challenge kidogo, sio kama hizo XT, akijitahidi sana unamuacha @ 120kph..., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, raha sana jamaniii
 
Nakataa nabisha kabisa umekutana na lena ww
 
Huyo jamaa hakutaka tu ligi,,,vinginevyo usingeona hata taa zake
 
Natafuta pesa ninunue Jeep Cherokee 4,000 cc kwa ajili ya kudeal na watu kama hawa!
 
Gahawa ya mchana kweupe hii.
 
Utakuwa mgeni wa magari mzee.. Tenga muda cku moja nikupe free ride na VOLKSWAGEN GOLF GTI.. 296 HP

Dash board yangu speed limit inasoma 280 kph.. Brevis yako inasoma ngapi mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1378310
Huko umempeleka mbali sana mtafutie katoto ka VW Golf 1.190cc speed 260km/h.
Ndio atajua tofauti ya ubber na gari.
 
Natafuta pesa ninunue Jeep Cherokee 4,000 cc kwa ajili ya kudeal na watu kama hawa!
Natafuta pesa ninunue Jeep Cherokee 4,000 cc kwa ajili ya kudeal na watu kama hawa!
Cherokee 4.0l ni utopolo hio usione hio 4.0l ukadhani ni gari ya maana haina mbio hata kidogo,cherokee ya maana labda utafute SRT kitu 6.4l na sijui kama bei yake utaiweza.
Ule uzi fulani wa mdada anayetafuta gari ya milioni 5,,,tulipotaja bl Brevis nikashangaa sana jinsi ulivyokua unaipamba kumbe unamiliki hilo gari.
Janaa anakwambia hakuna brevis no. C Tz hui,hahah.
 
Leo nimeona benz moja kali kinyama mitaa ya tazara ila inapelekwa boda nikasema kimoyo "mnyama yule" sipati picha huko njiani huo mwendo wake.
Cherokee 4.0l ni utopolo hio usione hio 4.0l ukadhani ni gari ya maana haina mbio hata kidogo,cherokee ya maana labda utafute SRT kitu 6.4l Hp

Janaa anakwambia hakuna brevis no. C Tz hui,hahah.
 
Leo nimeona benz moja kali kinyama mitaa ya tazara ila inapelekwa boda nikasema kimoyo "mnyama yule" sipati picha huko njiani huo mwendo wake.
Wakongo wanapenda magari mazuri sana mkuu,ukute linapelekwa huko mzee baba.

Kama hizi za mjapani tu jamaa wa IT hua wanafuta kisahani machine kama hio benz sijui wataipa adhabu kiasi gani huko road.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…