F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,345
- 1,069
Hiyo speed ndogo sana mkuu. Wewe tunakuonea huruma tunakupa subaru wrx ambayo haijafanyiwa tuning.
Unakuta mtu unaendesha zako 50kph huna habari na mtu, taratiiibu kabisa, huku ukiburudika na mziki lainiii..., halafu ghafla anakuja mtu kwa nyuma na kuanza kukuwashia mafull light kwamba yaani unampotezea muda eti umpishee..., na sehehemu inakibao kabisa chan50kph...