We una wangapiNi upumbavu kufika 30 hauna mtoto.
Hatusemi ndoa, bali mtoto au watoto.
Sawa. Sisi hatuna watoto kabisa na Bado tunaishi vizuri.Ni upumbavu kufika 30 hauna mtoto.
Hatusemi ndoa, bali mtoto au watoto.
Mkuu inatakiwa wawepo wa kuzitumia hizo pesa sasa.Cha muhimu pesa hayo mengine yanasungumzika
Wakiwepo wa kuzitumia Nini kitabadilika kwenye maisha yangu?Mkuu inatakiwa wawepo wa kuzitumia hizo pesa sasa.
Unapokua kwenye mahusiano,jaribu kua makini sana hasa katika kumsoma mwenza wako ili usije ukapoteza muda wako bure,Binadamu haaminiki,Unakuta mtu unakuwa na mahusiano manweka malengo mfano mko 26..mnakuwa wote miaka sita mfululizo Kisha dakika za mwisho mwenzio anabadili gia angani.hapo kwanini usijikute uko single over 30.
Na wengine pia changamoto za Maisha zinachangia
Ni upumbavu kwako fala wewe.Ni upumbavu kufika 30 hauna mtoto.
Hatusemi ndoa, bali mtoto au watoto.
Una ushahidi?Wapo wengi mbona. Kwa mfano baadhi ya masista wa kikatoliki na mapadre mbona hawana wapenzi, wake, na watoto.
Nimesema baadhi kwa sababu masista wengi hugongwa na mapadre wengi hugonga.