Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

mfumo wa maisha wasasa, unawabana sana vijana kuanzisha familia,....
mfano, mimi binafsi hali ya uchumi ilinizuis kwa muda mrefu kuwa kwenye mahusiano mazuri pia kupata mtoto mapema,.......
sababu kuu zinaweza kuwa ni, uchumi, malezi na maadili,

kupungua kwa thamani ya mahusiano bora,ndoa, familia na watoto, watu hawaoni tena umuhimu wa hivyo vyote,...🙏
 
Back
Top Bottom