Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

Sema ladies type ya kina Binti wa zamani wapo kwenye kundi la nymphomaniac
Screenshot_20261003-084427~2 (1).jpg
 
Maisha ya mijini hufanya watu kuchelewa kupata wenza maana unakuta life linaenda race, bills zinakuwa nyingi, muda wa kuwaza kuzaliana huwa mchache, wanawake wengi huwa hawana mapenzi ya dhati...haya yote hupelekea vijana kuchelewa kuwa na wenza na hata kuwa na watoto tofauti na maisha ya vijijini/mikoani
 
Mke na mtoto/ watoto = Majukumu yanayohitaji Pesa na Muda. Maisha ya kijana mtafutaji yanakuwa yapo race sana . Maisha ya bongo hasa mijini kijana wa miaka 30 bado anajitafuta kimaisha
 
Mke na mtoto/ watoto = Majukumu yanayohitaji Pesa na Muda. Maisha ya kijana mtafutaji yanakuwa yapo race sana . Maisha ya bongo hasa mijini kijana wa miaka 30 bado anajitafuta kimaisha
Mdau hata huko kijijini Kuna mwingine mambo hayajipa na yupo 30+ na Hana familia
 
Hasa gen z ndio wamekuja kasi sana na hiyo tabia. Yaani kwao umri mkubwa ni kama aina mpya ya ulemavu.

Nilienda kuanza chuo nikiwa na miaka 26 huku zaidi ya 80% ya classmates wakiwa ni gen z waliokuwa kati ya 22-25yrs. Mbaya zaidi sura ngumu, na sikuwa na hela. Aisee hakuna rangi niliacha kuona! Nilinyanyapaliwa sana, nikawa treated kama babu yao vile wakati nawazidi kati ya miaka 1-4 tu! Na mada za umri hazikukatika kila ninapokaa kwenye groups zenye gen z!

Akili zilikuja kuwarudi tulipokaribia kumaliza chuo, wamepokea boom la mwisho na kukumbuka muda wa maigizo umeisha.
Ushamba tu, yaani wanahisi wao hawatafika huko. Sisi mbona tumesoma na watu wazima na tulikuwa tunachangamana nao kama wenzetu
 
Majuzi amesherekea birthday yake 36 yrs
Huyo ni muongo na mdanganyifu. Ina maana mwaka 2006 alikuwa Miss Tz akiwa na 16 years? Angeruhusiwa na nani kushiriki hayo mashindano? Nakumbuka alikuwa na miaka 19 au 20 hivi.
 
Mimi kilichonishangaza ni kwa wewe kusema;

''Akifilisika hatutafuti mwingine tunaangalia kwanza kabla ya kufirisika halia ilikuwaje?
Tabia
Heshima
Maelewano
Jinsi ya kujali familia''

Yani hizo criteria mtaziangalia baada ya Mwanaume kufilisika! ila kabla hajafilisika mlikua hamziangalii,
So,hata kama alikua na tabia mbaya,hana heshima,hakuna maelewano,hajali familia hayo kwenu yalikua ni sawa tu kisa alikua ana hela sio?

Nimesema hivyo coz umesema kua hayo mtayaangalia Baada ya Mwanaume kufilisika.
Mimi mwenyewe nimesoma hayo nikasikitika sana kwa Mwanamke, Mama kusema hivyo!!!!!
 
Hapa ndio umejibu swali langu,


Nimeuliza kua,tuseme huyo mwanaume alikua na pesa no doubt,ila yakatokea matatizo akafilisika,hapo inabidi wamkimbie sio? watafute mwenye pesa? na huyo mwingine nae akifilisika,wanamkimbia nae kisha wanaenda kutafuta mwingine sio? sasa hayo ni mapenzi au kutafuta soko?
Wanawake wa hivyo papuchi zao huwa zinanena kwa lugha.
 
Hao wazazi hawakulazimishwa kuzaa ni utashi wao.Acheni uoga na kuishi kwa script.

Unakuta mtu hana mbele wala nyuma na yeye anakazana kuzaliana as if kuna kitu special anapata zaidi ya kutuletea vibaka na makahaba due to poor ubringing kwasbabu ya vipato duni.

Maskini acheni kudanganyana kama unajiona huwezi kuhudumia bila kuumiza badget yako hakuna haja ya kuzaliana hovyo mnatujazia wamachinga na wapiga debe,this ia a naked truth!!!
You are not the destiny controller wa wanao.

Lea wanao kulingana na hali ya uchumi wako.

Shida nyie kizazi cha sasa mnatakq muishi na kulea watoto kwa standard mlizolelewa nyie bila kujua wazazi wenu walipambanaje.

Cha msingi usicomplicate maisha, ishi kulingana na standard uliyopo.
 
Back
Top Bottom