Supapawa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2026
- 1,076
- 2,690
Kwamba niliyoyaandika hayapo?Kila siku nasema we huna akili, sista na padre unajua Sheria zao? Yani sijui hata ulijuaje jamii forum hata Facebook hufai kuwepo ninge kua nakujua ninhekunyanganya smart phone nikupe kitochi hujawa na akili ya kihandle mitandao shubamiti wewe🤣🤣🤣🤣🤣
Hujui chochote we dogo. Masista wana watoto na mapadre wana watoto, kaka yangu ni padre na ana watoto.
Funga domo kama hujui, yanayoendelea dogo.