Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Moyo wa mtu ni kichakaIla wanaume jamni
Kujua Sasa yaliyomo ni mazuri au mabaya no kazi nyingine.
Moyo wa mtu ni kichakaIla wanaume jamni
Sio wanaume tu,hata wanawake wapo hivyo pia,Ila wanaume jamni
Haha sababu ni zipi leo dadaikiwezekana pata mtoto ukiwa kwenye 25 hivi ikibidi wafululizane utanishukuru badae
Umeachwa dakika za jioni?H n mm kabisa 100%
Mtu unajikuta ndoa inavunjika unakuwa single ukiwa na miaka 45Tena kuachana kwa waliooana ndio kubaya sana hasa kama kuna watoto. Bora mtu uchukue muda mwingi kutafuta huyo mwenza kuliko kuharakia ndoa kabla wenyewe hamjapatana vizuri
ila asikwambie mtu mtoto mdogo ana raha yake sana sana hasa ukiwa umepanga na kujiandaa ujio wake huwa kuna wakati natamani watoto warudi udogoni ila si kuzaa zaa ovyo na watu tofautiHuku kwenye 40 na kuendela hutakiwi kuwa unakimbizana na malezi ya vichanga, huku unatakiwa uwe unakimbizana na mustakabli wa watoto wako
Hayo mambo hayana formula , what works for you might not work for another person.Huku kwenye 40 na kuendela hutakiwi kuwa unakimbizana na malezi ya vichanga, huku unatakiwa uwe unakimbizana na mustakabli wa watoto wako
Niko hapa..Je, nini husababisha watu kufikia hii Hali ..
Hana familia,mpenzi wala ndoa?
Ni ugumu wa maisha au Hali ya mahusiano mengi ya Sasa kutotabirika?View attachment 3683996
Binti yangu humuwezi kabisa!!! kupitia nyuzi zako najua mko tofauti kabisa.....Leo dada naomba nipatie basi Binti Yako mMoja kam unae unajua napitia kipindi kigumu sana cha mahusiano, hata mdogo wako, mi wamenishinda nazinguana nao Kila nikipata
Uzi ufungwe.Maamuzi tu ndugu
Mimi sina wenzangu,
I'm just living my l
I hope umeelewa.Mimi sina wenzangu,
I'm just living my life.
Huku kwenye 40 na kuendela hutakiwi kuwa unakimbizana na malezi ya vichanga, huku unatakiwa uwe unakimbizana na mustakabli wa watoto wako
Mungu hapangi uzazi wewe ndio unapanga uzae au usizae na kwa wakati gani.Kumuambia binadamu azae mapema nikumpa jukumu lisilo lake, hiyo ni kazi ya mungu ndo mpangaji uzae lini na ufe lini si binadamu watu wana matatizo ya kiafya mkuu, acha tu
Hata ukiandaa kabla ni vizuri na ukizaa wakishakua bado utaendelea kuandaaUnaweza kuandaa mustakabali kabla hata ya kuwaleta. Maisha hayana fomular moja
Wema nilimjua wakati anagombea u miss alivyoenda kutolewa shule mpaka sasa kwa hiyo namjua kiundani.Majuzi amesherekea birthday yake 36 yrs
Watachezewa san dad angu dunia ya leo uendekeze pesa labda na wao wawe nazoBinti yangu humuwezi kabisa!!! kupitia nyuzi zako najua mko tofauti kabisa.....
Halafu binti zangu wanafuata slogan yangu ya pesa mbele mapenzi nyuma