Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Bro kama pesa ipo si uende ma mbele ukapandikize mtoto alafu mlete huku bongo alelewe na bibi akikua mchukue life continues, Kuna jamaa yangu katendwa sana na mapenzi alibahatisha zenji akapata demu mzungu kamzalisha mtoto mMoja demu karudi kwao kamua hia mtoto, maisha yanaendelea mkuuMimi nipo 35 Sina mpenzi, Sina mtoto, Sina mke na Wala sijisikii vibaya ila Nina hela. Afya yangu ya kimwili ipo vizuri kabisa ila maisha Yana mambo mengi sana, Kuna watu mapenzi yalitujeruhi sana kiasi ambacho tumekuwa waoga mno wa kurudi tuliyoyapitia.