Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,913
- 2,662
Wapo wengi sana , maana kuna mambo ya kipato , masomo n.k vinachangia sana hilo jamboJe, nini husababisha watu kufikia hii Hali ..
Hana familia,mpenzi wala ndoa?
Ni ugumu wa maisha au Hali ya mahusiano mengi ya Sasa kutotabirika?View attachment 3683996