Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

Unakuta wengine wana extend hadi 40+ ndio anapata his first lover au mtoto wake wa kwanza
Ni maamuzi tu ya mtu wengine hawataki hizo kurupushani za kupiga watu risasi za kichwa km Urassa kapigwa risasi na Kweka na Kweka kwenda kujisalimisha polisi wanaona bora watulie tu na kujilia mema ya Nchi, wakitaka kugonga wanagonga yoyote
 
IMG-20261005-WA0046.jpg
 
Kwasasa mara nyingi ni ishu za kipato na uwekezaji wa maisha sanasana unakuta mtu yupo above 30 lakini hana mbele wala nyuma hii inampelekea kukosa mwenza wa kujenga familia naye au yeye mwenye kuhofia kua na mwenza kwakuwa huwaza ataitunzaje familia, ishu nyingine ni baadhi ya vijana wengi wa siku hizi unakuta kajipata lakini anaogopa majukumu kutokana na either shinikizo la kundi rika nk,.
 
Back
Top Bottom