Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Sawa bibie mapenzi ya Mungu yatimizwesijajua labda mabadiliko yanaweza kutokea ndani ya hiyo miaka ya katikati kabla ya kufikia 40 ila mpka saivi sina presha
Sawa bibie mapenzi ya Mungu yatimizwesijajua labda mabadiliko yanaweza kutokea ndani ya hiyo miaka ya katikati kabla ya kufikia 40 ila mpka saivi sina presha
amina sweetSawa bibie mapenzi ya Mungu yatimizwe
Tafadhali njoo pm tuone tunafanya vp mana mwnyw nna uhitaji wa mkemwezi ujao nagonga 32 na sina any... bt am ok with that
Sema tu, nitaelewa.Nimeandika nilichotaka kukuambia nikafuta. Nikagundia huwezi kuelewa
Kaka habari Yako kaka sijakuona kitambo au mimi ndio not reachableKuna wengine wagumba
broh mi sijasema nataka mume😄Tafadhali njoo pm tuone tunafanya vp mana mwnyw nna uhitaji wa mke
Na hawezi kukuelewa mana hana akili.Nimeandika nilichotaka kukuambia nikafuta. Nikagundia huwezi kuelewa
Bc mtoto 😎broh mi sijasema nataka mume😄
Ouhhhwatinshallah niggah
Sorry, We Dem, ni Muslim?inshallah niggah
huyo pia simhitaji labda kwenye maisha ya baadaeBc mtoto 😎
Kufululiza uongo aisee, sio watoto vinakuwa kama vimbwa vikiongozanaikiwezekana pata mtoto ukiwa kwenye 25 hivi ikibidi wafululizane utanishukuru badae
Umeanza nitisha dada angu ila mitoto ya siku hizi yanakua balaa toto Lina kumi na mbili ila dah, mfano mtoto wa diamond platinum yule tiffah aseeikiwezekana pata mtoto ukiwa kwenye 25 hivi ikibidi wafululizane utanishukuru badae
mi sio demOuhhhwat
Sorry, We Dem, ni Muslim?
Safi, bc niweke kiporo kwenye mawazo yako kuwa tayar unaye mtu wa kuzaa nae, nae n mm Mbaga Jr 😎huyo pia simhitaji labda kwenye maisha ya baadae
Basi mbless tunda bro wangu basi, ma viungo yenyewe ya kupewa bila gharama zozotehuyo pia simhitaji labda kwenye maisha ya baadae
Nipo sana bro labda tunapishana tu kwenye nyuzi hiziKaka habari Yako kaka sijakuona kitambo au mimi ndio not reachable
Nehi nehi nehi😄Safi, bc niweke kiporo kwenye mawazo yako kuwa tayar unaye mtu wa kuzaa nae, nae n mm Mbaga Jr 😎