Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

Ni upumbavu kufika 30 hauna mtoto.

Hatusemi ndoa, bali mtoto au watoto.
Mwafrika kwenye ubora wake.

Unaweza kututajia faida za maana za kuwa na watoto ambazo mtu asiye nao anazikosa?

NB: Achana na zile za ohhh kuwa na watoto ni raha, ni heshima, unaacha uzao nk maana maisha ni ubatili mtupu. Toa faida zenye akili timamu.

Watoto wenyewe hawahawa wanaoua wenzao kwa kukata kiungo kimoja baada ya kingine!
 
Bila kutoa unafki ice hujui kama pesa sabuni ya roho????
Hujui kama pesa inarahisisha mambo???
Hujui kma kuna wanaume ni wanyanyasaji sana wanapokuwa na pesa???
Umalaya ulipitiliza hujui???
Sijakataa umuhimu wa Pesa but kutanguliza mbele zaidi pesa ndio wasiwasi wangu,
tunatofautiana malezi na malengo,I teach my children to understand the value of the things not just the price,
I want them to focus on humanity and character instead of material things only,It'll help them to build lasting value and emotional well being,
Huwa tunayaangalia yote hayo kwa sababu sisi wanawake ni watu wa visas huo ni muda wa kuangalia nikuchome wapi panapouma zaidi nikuachie historia

Lakini kama tuliishi vizuri walau kidogo sina sababu ya kukulipa ubaya kwa namna yoyote ile.
Sawa.
 
Je, nini husababisha watu kufikia hii Hali ..
Hana familia,mpenzi wala ndoa?
Ni ugumu wa maisha au Hali ya mahusiano mengi ya Sasa kutotabirika?View attachment 3683996
Sina uhakika umefikiria hoja yako hii kwa mapana kiasi gani. Kwani wewe unaamini kwa dhati kwamba ni lazima mtu awe na mpenzi au watoto???
Kumbuka kupanga ni kuchagua. Wapo waliopanga kuishi maisha ya Useja eg. Mapadri na Masista/ watawa huko Ukatolikini, wapo Wengine hawana watoto kwa sababu za kibayolojia, wengine wamefungwa kiroho n.k. Kama wewe umefanikisha yote uliyohoji , Hongera sana mshukuru Mungu lakini usiwanyanyapae wale ambao hawajafaulu kama wewe. After all hakuna mahali wala sheria inayodai ni Lazima mtu awe na mpenzi au Mtoto.
Wapo watu maarufu sana waliowahi kuishi hapa duniani na hawakuwahi na hawakuwa na Mpenzi wala Mtoto/watoto hadi umauti wao.
Samahani kama nimetoka nje ya mada.
 
Mwafrika kwenye ubora wake.

Unaweza kututajia faida za maana za kuwa na watoto ambazo mtu asiye nao anazikosa?

NB: Achana na zile za ohhh kuwa na watoto ni raha, ni heshima, unaacha uzao nk maana maisha ni ubatili mtupu. Toa faida zenye akili timamu.

Watoto wenyewe hawahawa wanaoua wenzao kwa kukata kiungo kimoja baada ya kingine!
Wazazi wako wangekuwa na akili kama zako usingekuwepo hapa duniani.

Acheni kuleta defence mechanism, zaeni watoto.
 
Back
Top Bottom