Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

Wazazi wako wangekuwa na akili kama zako usingekuwepo hapa duniani.

Acheni kuleta defence mechanism, zaeni watoto.
Hao wazazi hawakulazimishwa kuzaa ni utashi wao.Acheni uoga na kuishi kwa script.

Unakuta mtu hana mbele wala nyuma na yeye anakazana kuzaliana as if kuna kitu special anapata zaidi ya kutuletea vibaka na makahaba due to poor ubringing kwasbabu ya vipato duni.

Maskini acheni kudanganyana kama unajiona huwezi kuhudumia bila kuumiza badget yako hakuna haja ya kuzaliana hovyo mnatujazia wamachinga na wapiga debe,this ia a naked truth!!!
 
Humu JF wengi wanadanganyana ujinga na afu unakuta wao wanayafanya. Mtu anakuambia usioe,usizae tafuta pesa tu afu humjui maisha yake halisi nje ya hapa. Ukweli ni kua wengi wameoa au wana watoto
Acha uongo na kuogopesha watu.

Hakuna ulazima wa kuzaa kama huna mpango huo.Stop spreading lise and terror.

Hivi mnajua maana ya kuzaa nyie vichogo.Thats a burden ambayo usipokuwa makini inageuka kuwa laana.Ukitaka kuzaa hakikisha umejipanga kukihudumia kitoto mpaka kijitegemee acheni kutesa watoto ili tu mkubalike na kufit kwenye jamii.
 
Mi binti yangu hawezi na hana uzoevu wa kukutoa kwenye kipindi kigumu cha mahusiano sijazaa kwa kazi hiyo..

binti zqngu wamefuata Slogan yangu pesa mbele mapenzi nyuma. utaweza?? au ndo stanza kujiita yatima wa mapenzi??
Ama kweli tunda halidondoki mbali na mti😒
 
Akifilisika hatutafuti mwingine tunaangalia kwanza kabla ya kufirisika halia ilikuwaje?
Tabia
Heshima
Maelewano
Jinsi ya kujali familia.
kama vyote hivyo vilikuwa vipo sawa tunakaa na kuvumilia.

Uzuri mwanaume akifirsika ni ndani ya miaka mitatu au mitano anarudi katika bora wake
Sometimes tunafilisika mazima
 
Acha uongo na kuogopesha watu.

Hakuna ulazima wa kuzaa kama huna mpango huo.Stop spreading lise and terror.

Hivi mnajua maana ya kuzaa nyie vichogo.Thats a burden ambayo usipokuwa makini inageuka kuwa laana.Ukitaka kuzaa hakikisha umejipanga kukihudumia kitoto mpaka kijitegemee acheni kutesa watoto ili tu mkubalike na kufit kwenye jamii.
Mashoga mna kazi sana
 
Unakuta mtu ana taka kupata mtoto mapema ili amsaidie, alikua siku hizi mtoto kusaidia familia sio mpaka akuue na awe msomi angalia yamal, angalia justin Bieber walitoka wakiwa wadogo sana
Kama Baba yake Yamal asingejitosa kuvuka Bahari na kwenda Uhispania kusaka maisha, Leo hii Yamal angekua anakula msoto Morocco.

This is Africa, Ukishazaa mtoto Afrika tu. Tayari mifumo ni kikwazo.

Na kutoboa maisha ni kwa mbinde sana.

Once you are born in Africa, life is automatically leading you 1-0.

If you are parents are poor, that's 2-0.
 
huwa nashindwa kuelewa hii obsession ya watanzania na umri wa watu inatokana na nini hasa.
Hasa gen z ndio wamekuja kasi sana na hiyo tabia. Yaani kwao umri mkubwa ni kama aina mpya ya ulemavu.

Nilienda kuanza chuo nikiwa na miaka 26 huku zaidi ya 80% ya classmates wakiwa ni gen z waliokuwa kati ya 22-25yrs. Mbaya zaidi sura ngumu, na sikuwa na hela. Aisee hakuna rangi niliacha kuona! Nilinyanyapaliwa sana, nikawa treated kama babu yao vile wakati nawazidi kati ya miaka 1-4 tu! Na mada za umri hazikukatika kila ninapokaa kwenye groups zenye gen z!

Akili zilikuja kuwarudi tulipokaribia kumaliza chuo, wamepokea boom la mwisho na kukumbuka muda wa maigizo umeisha.
 
Back
Top Bottom