Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

Unakuta mtu unakuwa na mahusiano mnaweka malengo mfano mko 26..mnakuwa wote miaka sita mfululizo Kisha dakika za mwisho mwenzio anabadili gia angani.hapo kwanini usijikute uko single over 30.
Na wengine pia changamoto za Maisha zinachangia
 
Unakuta mtu unakuwa na mahusiano manweka malengo mfano mko 26..mnakuwa wote miaka sita mfululizo Kisha dakika za mwisho mwenzio anabadili gia angani.hapo kwanini usijikute uko single over 30.
Na wengine pia changamoto za Maisha zinachangia
Unapokua kwenye mahusiano,jaribu kua makini sana hasa katika kumsoma mwenza wako ili usije ukapoteza muda wako bure,Binadamu haaminiki,

Some people aren't loyal to you,they are loyal to their needs of you,
Once their needs change,so does their loyalty.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…