Hivi kuna mtu bado anazipuuzia English medium schools?

Bora angesema taaluma husika!!kiingereza pekee sio ishu hata kidogo!ndio maana ukienda kwa warusi hawana shobo nacho itabidi ujifunze kirusi halafu ndio ujifunze taaluma!!
Acha kulinganisha ujinga, sasa Mrusi utamlinganisha na Mtanzania? Mrusi kwenye soko la dunia kuna vingi vya kumbeba sio kama sisi. Onyesha Mtz aliyetoboa kimataifa na hujui au hakujifunza na wala hakihitaji Kingereza
 
Kiingereza tunajifunza kwenye taaluma husika!!swala Zima la kuwa competent ni la wewe binafsi sio la ada Wala pesa Wala English medium!!

Hivyo tu
 
Kuwa muelewa kijana, sawa hata matour guide wengi wanakijua kingereza, shida sio kukijua shida unauwezo wa kufanya representation ukeleweka hata Masai Zanzibar wanakigonga mkuu, lakini kingereza chao na kingereza cha kuongea fact ni mambo mawili tofauti unajua Hilo mkuu?
 
Attachments

  • Screenshot_20260912-141007.jpg
    55.2 KB · Views: 10
Acha kulinganisha ujinga, sasa Mrusi utamlinganisha na Mtanzania? Mrusi kwenye soko la dunia kuna vingi vya kumbeba sio kama sisi. Onyesha Mtz aliyetoboa kimataifa na hujui au hakujifunza na wala hakihitaji Kingereza
Safi kaka we ni genious alafu kichwani upo poa, akirudi huyu jamaa Kwa hii point, basi achana nae hana kitu kichwani
 
English medium huwa wanaimbishwa na kukaririshwa maneno kama kasuku usidhani kwamba wakienda kimataifa ndio English medium itawabeba unajidanganya
 
Kwa sasa ujio wa Ai, hata aliyesoma St kayumba, kwa bidii zake binafsi anaweza kuzungumza lugha ya Malkia vizuri tu.
Ila hii lugha ya malkia inatupiga sana Watanzania. Tulikumbatia sana kiswahili bila kujua umuhimu wa lugha ya malkia. Wakenya na Waganda wapo kwenye mashirika mengi ya kimataifa kwa kushinda "interview "
 
English medium huwa wanaimbishwa na kukaririshwa maneno kama kasuku usidhani kwamba wakienda kimataifa ndio English medium itawabeba unajidanganya
Mbona unaongea Kwa huruma sana, unaumwa mkuu, inaonekana unatetemeka, either unacho ongea unajua kabisa hakina maana Wala ulazima na hakieleweki
 
Bora angesema taaluma husika!!kiingereza pekee sio ishu hata kidogo!ndio maana ukienda kwa warusi hawana shobo nacho itabidi ujifunze kirusi halafu ndio ujifunze taaluma!!
Wao wana hazina kubwa kwenye kirusi, lugha yao kwa asilimia kubwa inajitosheleza, usijifananishe na hao watu hata kidogo.
Nimesoma kirusi mwaka mmoja nikasoma course yangu kirusi, ni lugha inayojitosheleza. Nimbie kiswahili kinaweza kutoshea kwenye elimu?
 
Ila hii lugha ya malkia inatupiga sana Watanzania. Tulikumbatia sana kiswahili bila kujua umuhimu wa lugha ya malkia. Wakenya na Waganda wapo kwenye mashirika mengi ya kimataifa kwa kushinda "interview "
Limtu linasema kingereza hakina umuhimu lipo serious kabisa jinga sana, sijui alioni ongezeko la walimu kutoka kenya na Uganda kuja kufundisha tz ilihali nasi tunawasomi kibao mtaani, wakenya wanafundisha kiswahili arabuni sababu wao wanakimanya kingereza hivyo hata interview wanazifuzu kuliko sisi
 
Fact🙏
 
Kwa sasa ujio wa Ai, hata aliyesoma St kayumba, kwa bidii zake binafsi anaweza kuzungumza lugha ya Malkia vizuri tu.
Lakini bidii binafsi inahitaji ubinafsi kweli, si jambo jepesi sana kuweka umakini katika kujifunza binafsi. Ndio maana kumekuwa hadi na adhabu ili kuweka uthabiti wa kuongea lugha ya kiingereza ya shule kwa wanafunzi.
 
EMS hazifundishi kiingereza. Ingekuwa wazazi wanajua kiingereza wangeshtuka kitambo.

Waalimu wenyewe wametoka kayumba ndo wafundishe kiingereza?

Tanzania hatuna utamaduni wa kuizungumza hiyo lugha.
 
Kaka muulize huyo mrusi akija Africa hapa ataongea na nani kama hajui kingereza? Ilihali wasomi wetu kiasi Fulani ndio lugha yao, muoneshe hii picha, na ajue madhara makubwa yaliyopo hapa,
 
Attachments

  • Screenshot_20260912-141007.jpg
    55.2 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…