Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #41
DEBATES wanazo Fanya, angalia watoto wa diamond tiffah na mwenzake walikua bongo miaka hiyo wakapokelewa na waandishi Kwa mbwembwe kichekesho kikaja kwenye lughaLakini bidii binafsi inahitaji ubinafsi kweli, si jambo jepesi sana kuweka umakini katika kujifunza binafsi. Ndio maana kumekuwa hadi na adhabu ili kuweka uthabiti wa kuongea lugha ya kiingereza ya shule kwa wanafunzi.
DEBATES inshu kubwa sana hii inawajenga na kuwapa confidenseKwa ulivyoeleza, maana yake EM wana advantage zaidi maana wanapata package nzima. English wanagonga na maarifa wanapata
Hawafundishi kingereza ila wana practice kukiongea umeelewa mkuu?EMS hazifundishi kiingereza. Ingekuwa wazazi wanajua kiingereza wangeshtuka kitambo.
Waalimu wenyewe wametoka kayumba ndo wafundishe kiingereza?
Tanzania hatuna utamaduni wa kuizungumza hiyo lugha.
Watoto wa diamond walipokewa na waandishi wa habari wengi miaka hiyo kichekesho kikaja kwenye lughaEMS hazifundishi kiingereza. Ingekuwa wazazi wanajua kiingereza wangeshtuka kitambo.
Waalimu wenyewe wametoka kayumba ndo wafundishe kiingereza?
Tanzania hatuna utamaduni wa kuizungumza hiyo lugha.
Ndio tunacho zungumzie hapa kakaLugha ni muhimu kujifunza lakini viendane pia na maarifa
Nimepita huko mkuu najua ninachokisema. Hawajui na hawa-practice.Hawafundishi kingereza ila wana practice kukiongea umeelewa mkuu?
Hayo ni matatizo binafsi hapa tunaongelea Nini kwani?Nimepita huko mkuu najua ninachokisema. Hawajui na hawa-practice.
EMS zina faida ya miundombinu—Madarasa, madawati, chakula nk. ila elimu bora Tanzania wanapata watoto wachache mno.
Ndio stadi za lugha zipo nne, Kusikiliza, Kuzungumza kunadika , na kusoma. Mtu anaweza kujua stadi mojawapo au zote kwa viwango kadhaa. Kiwango cha juu kabisa cha ujuaji lugha ni 4. (Native) njia nzuri ya kujua lugha ni njia ya mawasilia ( communication) kwahiyi hao wamasai huenda wakajua lugha kuliko mtoto anayefundishwa shuleni . Pamoja na hilo kuna kujua lugha kwa kuisoma kama taaluma ambapo hapo utajua hadi sarufi ya lugha husika na kaida zake.Usijidanganye kuijua lugha na kizungumza ni mambo mawili tofauti nenda Zanzibar Kwa wale Masai, wa beach wanaelewana na watalii vizuri kabisa waambie waandike kike wanacho kizungumza mdomoni mwao ucheke mpaka ufe, Masai anaitamaka water akimanisha maji mwambie aiandike hiyo water ucheki anavokimbia
Tuwe tunazitenganisha pia. Kuna EMS international na EMS NECTA.Watoto wa diamond walipokewa na waandishi wa habari wengi miaka hiyo kichekesho kikaja kwenye lugha
Dah noma sana mkuu, umenena factTuwe tunazitenganisha pia. Kuna EMS international na EMS NECTA.
Watoto wa matajiri kama diamond hawatosoma EMS za NECTA. Watasoma international.
Chukulia international ya kawaida kama Feza, wanalipa 37M+ kwa sekondari. Kuna international kubwa kama IST, 12th grade ni 103M. Watoto wanaosoma huku ni wachache mno.
Sasa hapo ndio umetetea nini tetea hoja yako usiniattack mimi binafsi mkuu sasa hapo ni nani ataonekana anaumwa kama sio wewe.Mbona unaongea Kwa huruma sana, unaumwa mkuu, inaonekana unatetemeka, either unacho ongea unajua kabisa hakina maana Wala ulazima na hakieleweki
Sio tu kusomesha mkuu jitahidi wapate kilicho boraNgoja nami nisomeshe watoto
Heee kumbe usha wakagua walio soma EMS wote ukagundua hawana jipya? Umepaniki bro bye 👋Sasa hapo ndio umetetea nini tetea hoja yako usiniattack mimi binafsi mkuu sasa hapo ni nani ataonekana anaumwa kama sio wewe.
Mimi nimesoma Kayumba na hakuna nchi nilitua nikashindwa kuongea lugha yoyote inayoongelewa kwenye eneo husika iwe kiingereza iwe kifaransa iwe kiarabu najiongeza hapohapo na tunaelewana sasa nionyeshe hao waliosoma English Medium wakaenda nje ya nchi na kuonyesha umahiri wowote?
Kipi cha ajabu hapo.Usijidanganye kuijua lugha na kizungumza ni mambo mawili tofauti nenda Zanzibar Kwa wale Masai, wa beach wanaelewana na watalii vizuri kabisa waambie waandike kike wanacho kizungumza mdomoni mwao ucheke mpaka ufe, Masai anaitamaka water akimanisha maji mwambie aiandike hiyo water ucheki anavokimbia
Ni weupe ndio wameleta impact gani zaidi ya kuwatishia watu mitaani tu kwa kiingereza uchwala.Heee kumbe usha wakagua walio soma EMS wote ukagundua hawana jipya? Umepaniki bro bye 👋
Unaweza kua na maarifa na huwezi kuandika kile unacho zungumza?Kipi cha ajabu hapo.
Maana wapo watanzania wanaozungumza kiswahili ila hawana uwezo kuandika kwa kiswahili au hata kwa lugha zao za asili.
Stadi za kuandika na stadi za kuzungumza ni vitu viwili tofauti.
Hapana sijui mkuu, naona tutakesha mana unaaminisha uko bright kumbe tayari una kisasi cha kusoma kayumba na si kuongea uhalisiaNi weupe ndio wameleta impact gani zaidi ya kuwatishia watu mitaani tu kwa kiingereza uchwala.
Nipaniki kwa mambo ya kitoto hivi inanisaidia nini kwa mfano?
Halafu kitu usichokijua huwezi kujipima uwezo wako wa lugha bila kukutana na watu husika wanaozungumza lugha hiyo sijui unajua hili?
Wewe jamaa acha ujinga, Hata hao Marais wa nchi hizo wanajua Kiingereza na kuna uwezekano mkubwa wamesoma katika nchi za Magharibi.Ni nyani mweusi km wewe ndiyo anahusudu lugha za watu. Kule Ujerumani, Russia, China, Japan, Ufaransa wameendelea wanatumia hicho lugha? Una-promote hiyo lugha labda una ka-English medium. Hata hivyo hivi viinglish medium vya Bongo wanatoka watupu, mtoto akitoka tu mlango wa darasa ni kiswahili mpaka home, walimu wanaowafundisha hawajui kiingereza. Tuboreshe lugha yetu ya Taifa acheni kushobokea lugha ya watu.