Hiki ndicho kitu nilichomueleza huyu jamaa mtoa mada ila haelewi kwa vile tayari ameshamezeshwa na kuingiziwa hiyo imani kwenye kichwa chake kwamba kule English medium ni ngumu sana kumnasua mtu wa aina hiyo kutoka kwenye huo mtegoEMS hazifundishi kiingereza. Ingekuwa wazazi wanajua kiingereza wangeshtuka kitambo.
Waalimu wenyewe wametoka kayumba ndo wafundishe kiingereza?
Tanzania hatuna utamaduni wa kuizungumza hiyo lugha.
Huu ni ukweli kabisa......Nimepita huko mkuu najua ninachokisema. Hawajui na hawa-practice.
EMS zina faida ya miundombinu—Madarasa, madawati, chakula nk. ila elimu bora Tanzania wanapata watoto wachache mno.
Kuna tools za kufanya translation, kuna watu ndio kazi yao kutafsiri na wanalipwa. Kama lugha yako ina mashiko duniani wala sio issue siku hizi. Swali ni kwamba, kiswahili kinatosha kwenye taaluma?Kaka muulize huyo mrusi akija Africa hapa ataongea na nani kama hajui kingereza? Ilihali wasomi wetu kiasi Fulani ndio lugha yao, muoneshe hii picha, na ajue madhara makubwa yaliyopo hapa,
Kaka inshu ya kuajiri mkalimani sio poa Kuna private issues sio mpaka mwingine ajue mnacho zungumza, lakini pia Kwa lugha ya urusi ni ngumu hata MIKOANI kumpata mkalimani kakaKuna tools za kufanya translation, kuna watu ndio kazi yao kutafsiri na wanalipwa. Kama lugha yako ina mashiko duniani wala sio issue siku hizi. Swali ni kwamba, kiswahili kinatosha kwenye taaluma?
Mtu akija kwa issues za kibiashara hakuna chochote private, utatafuta mkalimani mfanye biashara. Kama ni issue private hata msipoelewana mnaweza kuelendelea tu😃.Kaka inshu ya kuajiri mkalimani sio poa Kuna private issues sio mpaka mwingine ajue mnacho zungumza, lakini pia Kwa lugha ya urusi ni ngumu hata MIKOANI kumpata mkalimani kaka
Ndiyo.Unaweza kua na maarifa na huwezi kuandika kile unacho zungumza?
Kimombo ni muhimu Sana, sie tuliopita kayumba tunajua mziki wa kushindwa,Tundu lissu Alisha wahi kulalamika, mawakili Fulani kingereza chao hakikua vizuri, mwingine akaenda mbali kumbe zile international case zinatubwaga huenda lugha, ukiona mzazi anatoa mamilioni fedha ana maana yake
Mtu anataaluma ya habari, lakini hawezi kuhoji Kwa kingereza lakin huyu mtu ana taaluma yake? Kumbuka kipindi kile Rick Ross kaja, wakamsusia vmoney na hawa wa Jana changamoto tupu