Hivi kuna mtu wa Nchi mbali anafuatilia na kuanzisha Mada JF ya nayoendelea Afrika Mashariki?

Hivi kuna mtu wa Nchi mbali anafuatilia na kuanzisha Mada JF ya nayoendelea Afrika Mashariki?

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Hivi kuna mtu wa Nchi hii anafuatilia na kuanzisha Mada JF ya nayoendelea Afrika Mashariki yanayohisiana na vita au heka heka ya kuagiza Yesu Africa?

Au nikiumbelel na kumuhemuhe au ubwege wa kuwazu yanayotuhusu mfano rushwa, mahari kwa watoto wetu na kabira zetu na mila zetu, tozo za vocha, ving'amuzi bando, mihamala ya simu, ya benki; kweli kuna mtu.
 
Hivi kuna mtu wa Nchi hii anafuatilia na kuanzisha Mada JF ya nayoendelea Afrika Mashariki yanayohisiana na vita au heka heka ya kuagiza Yesu Africa...

hizo mada zinamajukwaa yaje humu.

hata ukitaka udaku humu upo inategemea na jukwaa ulilopo.

Umezoea kutumia facebook sana tatizo.

tafuta mtu akufundishe kutumia jamii forum.
 
Tangu lini matajiri wakakaa kwenye vijiwe kuwajadili masikini?
Ni kawaida masikini kuwa na vijiwe vyao vya kuwajadili matajiri... Mara ooh, tajiri fulani kamzidi tajiri fulani, mara ooh huyu ni freemason nk

Naam! Ni vyema tukaendelea kuwafuatilia kwa katibu wanaoratibu maisha yetu kadri inavyoonekana ili wanaopopitisha maamuzi yao tujiandae maana maamuzi yao yanatuathiri hadi sisi huku matejoo, uyole, kibera, kishumundu, nyegezi na kwingineko
 
Back
Top Bottom