Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
-
- #221
VyoteJamani kuna kupika na upishi sasa sijui unazungumzia upishi au kupika
[emoji102] [emoji102] nakuzoomSio tu mpango bali nimeshaanza jitihada za kujifuza kupika.....siku hizi najua kupika chai[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa nashangaa nani amehack I'd yako. Wakt juzi umepika chakula Si cha nchi hii kwa uboraHakika u rafiki mwema sio kama Kichwa Kichafu kanitupia swali la kijembe badala ya kunishauri.
Hili Lina ukweli ndani yakeKwa mwanamke kutokujua kabisa kupika naamini kunahusiana kabisa na uchafu pia...kama hajui kupika lazima atakuwa mchafu na mvivu...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] usinichekeshe mara nilishakuwa fundi duu[emoji23] [emoji23] nakuona fundi Wa muda wote jikoni
Hiyo inawezekana kabisaKwa mwanamke kutokujua kabisa kupika naamini kunahusiana kabisa na uchafu pia...kama hajui kupika lazima atakuwa mchafu na mvivu...
Mume akigonga hausigeli eti na wewe utalalamaShoga ake kumbe we mpishi mzuri eeh!!!
Ila kupika nako nikipaji atiii wengine hatuna
Ngoja akuoe ndio utajua mwanaume ni naniHatuendi kula mtaan anapikaga mwenyewe uzuri nilimwambia mapema cjui kupika ,akakubal
Namsaidiaga kuosha vyombo tyuu
Akagonge tyuuu kama ndo suluhusho La tatizooMume akigonga hausigeli eti na wewe utalalama
Waiiii [emoji57][emoji57]tusitishane hebuu!!!!Ngoja akuoe ndio utajua mwanaume ni nani
Umuoe sasa usimuache akawapikie wengineNilikuwa na Gf mmoja hajui kupika, nilimfunza sa hii ananipikia fresh
Wapo wanawake wengi hasa hasa wanaofanya kazi maofisini hawajui kupika na ndio maana wengi wao ndoa zao hazidumu!! Hawajui kuwa THE WAY TO A MAN'S HEART IS THROUGH HIS STOMACH" Eti kila siku kazi yao kuwaletea waume zao TAKE AWAY!!!
Mimi kama wife (corporate wife)na wadogo zake tena wakike wapo peke yao nyumbani halafu msichana wa kazi hayupo nyumbani basi siku hiyo tutashinda na njaa....nimeshaongea na kugombana wee mpaka nimechoka sasa nimezoea.....
Mwandiko wako nasikia radha ya mapishi bora[emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] usinichekeshe mara nilishakuwa fundi duu
Dawa ya Mwanamke wa hivi ni mimba mfululizo ziopo namna avae vijiti au apige sindano haisaidii kituWaiiii [emoji57][emoji57]tusitishane hebuu!!!!