Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Nilikuwa na Gf mmoja hajui kupika, nilimfunza sa hii ananipikia fresh
 
Wapo wanawake wengi hasa hasa wanaofanya kazi maofisini hawajui kupika na ndio maana wengi wao ndoa zao hazidumu!! Hawajui kuwa THE WAY TO A MAN'S HEART IS THROUGH HIS STOMACH" Eti kila siku kazi yao kuwaletea waume zao TAKE AWAY!!!

Mimi kama wife (corporate wife)na wadogo zake tena wakike wapo peke yao nyumbani halafu msichana wa kazi hayupo nyumbani basi siku hiyo tutashinda na njaa....nimeshaongea na kugombana wee mpaka nimechoka sasa nimezoea......
 
Mimi kama wife (corporate wife)na wadogo zake tena wakike wapo peke yao nyumbani halafu msichana wa kazi hayupo nyumbani basi siku hiyo tutashinda na njaa....nimeshaongea na kugombana wee mpaka nimechoka sasa nimezoea.....

Nadhani huo mshahara wa huyo mama umekuzubaisha ndio maana unateseka; nadhani unaosha vyombo hapo kwenu na nguo unamfulia!!
 
Nilikua nae mumoja hajui kupika yaani akipika utafikili kakoroga na miguu akashusha nikampiga chini niliyenae saiv kiboko anapika chakula kinanukia mpaka kazini nasikia
 
Back
Top Bottom