Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Mm mama yetu alitulea kijeshi yaan mpaka chapati na maandazi napika yaan nikikaa jikoni km ww ni mwanamke hujui kupika utaomba darasa.Na hii imenisaidia kuepuka kula uchafu qa mgahawani kipindi Niko sijaoa
 
Drs la pili tulikuwa tunaenda shuleni saa nne nilikuwa najipikia mwenyewe, chakula cha wengi nilianza kupika nikiwa std 4.
Saa nne kutoka saa nane jua limekupiga halafu naambiwa leo chakula hamna leo nakufundisha unapika mwenyewe aisee mpaka raha la nne ulikuwa unapika chakula cha wengi
 
Hivi nini kinachotofautisha test? Ukiwapa wanawake wawili vitu vyote sawa na ukawaambia wavipike kila mtu atatoa test yake,i dont know why wakati content ni moja.
Ni chemistry iliyofichika.

Bata tofauti ya muda watakao tumia inaleta test tofauti
 
Sijui kupika kwasababu nililelewa na bibi yangu akawa ananidekeza mno,nilivyotoka kwake nikasoma shule za bweni mpaka nilipojitegemea. Nakulaga kwa akina mama na baba nt'ilie kiroho safi kabisa.
Huna mpango Wa kujua kupika zaidi ya hizo excuse?
 
Tena wengi wao wamejaa humu jf ndio maana wanaume wa dar tunaweka kwanza madem ndani ili tuweze kupima mambo kadhaa ikiwemo kupika,kupiga show,tabia,usafi n.k
Defense Mechanism
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watoto wa skuhiz mnamjazia
Makemical wakat yy alishazoea
Vya sali
Nakwambia ni shida kuna kipindi alikaa kwa broo ikabidi niwambie huyu mpikieni hivi ukimpa vya hivi anadokoa wakwamwelewa, sasa sie tunavyokarangizya mpaka radha inapotea [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…