Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
- #121
Nazungumzia mapishi ambayo necessary kwa kila mwanamke kujuaInategemea na mapishi yenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazungumzia mapishi ambayo necessary kwa kila mwanamke kujuaInategemea na mapishi yenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Maji ya uoga hata mtoto aliyezaliwa Leo anajua[emoji23]
Ndio waanawake waliokulia ushuaniKukaa ushuani kuna mfanya aogope jiko huyo mwanamke Wa ajabu
[emoji1] [emoji1] sasa ulikuwa unalia kwanini?Nakumbuka nilifundishwa kupika ugali nipo darasa la pili siku hiyo nimerudi shule sijawekewa chakula nikaambiwa eti nijipikie nitaelekezwa nililia nikawasha jiko la mchina nikabandika sufuria naanza kuelekezwa sasa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] niliona kama nateswa nimeshazoea kukuta nimewekewa chakula siku hiyo naambiwa eti nijipikie[emoji1] [emoji1] sasa ulikuwa unalia kwanini?
Drs la pili tulikuwa tunaenda shuleni saa nne nilikuwa najipikia mwenyewe, chakula cha wengi nilianza kupika nikiwa std 4.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] niliona kama nateswa nimeshazoea kukuta nimewekewa chakula siku hiyo naambiwa eti nijipikie
Drs la pili tulikuwa tunaenda shuleni saa nne nilikuwa najipikia mwenyewe, chakula cha wengi nilianza kupika nikiwa std 4.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] niliona kama nateswa nimeshazoea kukuta nimewekewa chakula siku hiyo naambiwa eti nijipikie
Saa nne kutoka saa nane jua limekupiga halafu naambiwa leo chakula hamna leo nakufundisha unapika mwenyewe aisee mpaka raha la nne ulikuwa unapika chakula cha wengiDrs la pili tulikuwa tunaenda shuleni saa nne nilikuwa najipikia mwenyewe, chakula cha wengi nilianza kupika nikiwa std 4.
Kiutani utani?Tupo..
Hapa Kama kuna kaukweliHawajui weng tu. Hasa waliozaliwa kuanzia 1992
Ni chemistry iliyofichika.Hivi nini kinachotofautisha test? Ukiwapa wanawake wawili vitu vyote sawa na ukawaambia wavipike kila mtu atatoa test yake,i dont know why wakati content ni moja.
Huna mpango Wa kujua kupika zaidi ya hizo excuse?Sijui kupika kwasababu nililelewa na bibi yangu akawa ananidekeza mno,nilivyotoka kwake nikasoma shule za bweni mpaka nilipojitegemea. Nakulaga kwa akina mama na baba nt'ilie kiroho safi kabisa.
Samaki anafufuka[emoji23] [emoji23] [emoji23]ii sijui ni kweli!![emoji15] [emoji15] View attachment 723602
Defense MechanismTena wengi wao wamejaa humu jf ndio maana wanaume wa dar tunaweka kwanza madem ndani ili tuweze kupima mambo kadhaa ikiwemo kupika,kupiga show,tabia,usafi n.k
Duh!Sasa kama maza mwenyewe haingii jikoni mi naenda kutafuta nn
[emoji23]Fungua shule ya kufundisha kupika.. Wapo wengi tu mkuu
Nakwambia ni shida kuna kipindi alikaa kwa broo ikabidi niwambie huyu mpikieni hivi ukimpa vya hivi anadokoa wakwamwelewa, sasa sie tunavyokarangizya mpaka radha inapotea [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watoto wa skuhiz mnamjazia
Makemical wakat yy alishazoea
Vya sali
Mungu anakuona.Mm mwenyewe cjui kupika,nikiona vitunguu tu nackia kulia